Labda nichukue likizo ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Labda nichukue likizo ya mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jambo africa, Aug 7, 2011.

 1. j

  jambo africa Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeamua kuchukua likizo kwani nimeshatendwa mno na wanaume mpaka nimechoka ila bado ninao kwani usagaji siupendi
  enyi viumbe mnaoitwa wanaume mna nini na mie? nimewapenda sasa nasema naombeni likizo kabla hamjanitoa roho
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  ukimaliza likizo niPM.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,643
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Mtangulize mungu kwa kila hitaji lako!
  Kuna vitu vya msingi naamini unavimiss ktk mahusiano na vitu hivyo humilikiwa na mwanamme tu mwanamke kazi yake ni kuviamsha tu vitu hivyo!
  Nakuonea huruma sana mpaka natamani ningeishika hiyo nafasi hakika ningekuwa dr wako mzuri!

  Nwy ni pm nitakupa tiba sahihi ya tatizo lako dada!
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  pole sana
  Likizo itaisha lini? baada ya mfungo au?
  nijue ili niandae sylabus mpya.
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Hii nenda kapost kule facebook si mahala pake hapa
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,110
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  UNAJUA M2 USIPOJUA KUPENDA NAWE HUTAPENDWA VILEVILE,..HUWAONYESH KUW UNAYAJUA MAPENZ,.. SIDHAN KAM UKIW MAHIRI KAMA WATAKUKIMBIA.. JIFUNZE KWANZA, HALAF TAFUTA M2, MANA KUTA2A JAMB SIYO KULIKIMBIA.. Halaf unaonekan ulianza mapenz kwa machachali bila kujua unakoelekea... Na we bado umri ni mdogo ndo mana unajipa likizo.
   
 7. j

  jambo africa Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masikio kama hiyo basi lako hayo makimikono kwa juu
   
 8. j

  jambo africa Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani nilianza na umri wengi walioanza nilianza na 16 ila wengi wao ni waongo na wanataka kuniamulia niishi vipi na nifanye nini na niende wapi ndo tatizo ila kuwapenda nimewapenda sana tuu kakangu au dadangu sijui ur gender
   
 9. j

  jambo africa Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  learn kuheshimu people's opinion and space if u find something isn't ur type why don't u learn to shut the **** up n mtu anaeona anaweza kutoa mchango akatoa? what if siko facebook? kama wewe ni mwanaume basi whatever u got between ur legs must b size ya mtoto wa miaka miwili
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,592
  Likes Received: 2,158
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Mhh! mkuu kumbe una vya wamiaka miwili..,
  Nwyz napita tu..!
   
 11. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  It seems you have limited thinking capacity. Kama haupo facebook kajiunge ili upost post kama hii. Mwanamke aliyekamilika hawezi kuanika upuuzi kama huu hapa, ukiona hivyo ujue something wrong katika ubongo wake na hii inachangia pia kutendwa. Between your leg must be very big hole enough with full of water (like a lake) and men cannot enjoy se....x, thats why men cannot stay with you for a longtime. And it seems you are a materialist girl.


   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kiburi kiburi kiburi much know sijui muhaya wewe nasikia hata kichefuchefu
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,104
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Pole dada,We live in a Complex world,there is no black or white!Jipe moyo!
   
 14. j

  jambo africa Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  for today let me just hold my ulimi ila kwa kifupi ni kwamba i thought hii ni page mtu anaweza akaomba ushauri na haitegemei ni jambo gani na kwa ksema labda ni mie ni muhaya ama inshort um na inaonekana una mabifu yako na wahaya au wamekuzidi kitu au ulimfukuzia demu wa kihaya na hukumpata so sio tatizo lako ila pole n saying kwamba mie ni material gal naheshimu opinions zako vile na umejibu kwa hasira huwa wanasema ukitaka jua mtu hit her or his nerves. nakuheshimu kakaangu ila next tym funga domo lako au kama unajifunza computer au kama wewe ni mwanaume kamili kwa nini usije na ur really name kuliko kutumia some stupid name?EMBU NIKUULIZE HAPA WATU WANATAKIWA KUPOST VITU GANI?USIKU MWEMA
   
 15. j

  jambo africa Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni msichana ninaejua nini nataka na nitakipaje kwa kutumia mbinu gani kwa akili zangu za kuzaliwa au kwa akili za maisha niliyopitia kwa kifupi niko radhi kuachana na mwanaume yoyote ambaye atajaribu kunibring down NA NINGEKUJUA I SWEAR NINGEKUPROVE WRONG NA HIYO JINSIA YAKO MBWA WEEE
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Pole ...
  yap Likizo safi sana
  sit back , relax , your favorite drink lolz

  nway
  ni vema kuchukua time off
  na kufikiria au ku correct ulicho
  pitia ...... hatujui mbele kukoje
  lakini pia ni vizuri kutengeneza njia
  .......... nakuunga mkono .......
   
 17. d

  december Member

  #17
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hey jamani...whr was i,coz it seemz i micd smthing here....hahahahahahahaa... dada achana nae huyo unajua sm pple smtymz dnt think with thier heads bt their p...s!! dnt mind him.
   
 18. d

  december Member

  #18
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  u dd ryt, take sm tym off then come back afresh n trust me.....u wil lv ryt next tym..
   
 19. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,068
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Dadangu una haki ya kupost hii thread.wana JF weng wamekarir kwamba hiki ni kijiwe cha siasa tu,cha kukashifu watu bila uthibitisho.hii ndio njia mojawapo ya kufaidika na teknolojia,km una linalokutatiza,kwa nini usipost ili usaidiwe?hao wanaopinga wana mawazo mgando.wajue tu hata facebook pia yapo mambo ya msingi yanayojadiliwa pengine hata kuliko hapa JF.
  nisieleweke vibaya kuwa labda najipigia chapuo kwako,la hasha!la hasha!la hasha.
  Pole kwa yalokukuta,ila nadhani labda una select at random,si kila mwanaume anafaa kuitwa mume,be selective usikurupuke.ukitaka mume bora usiruhusu hisia ziamue,tumia akili.ukitumia hisia,daima utaangukia pua.
  Ni kuulize labda,UNAPENDA KWA SABABU AU UNA SABABU UNAPOPENDA?{haya ni maswali 2 tofauti,kua makini unapojibu}.PENDA UNAPOPENDWA,USIPENDE ULIPOPENDA WEWE.
   
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  likizo njema...
  ukimaliza nijulishe.
   
Loading...