Laana ya wataka mabadiliko? Kapwani amepatwa na strok baada ya kula hongo

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,938
2,000
Ndugu zangu wana JF inadaiwa Lukuvi alimhonga pesa na gari mgombea wa CHADEMA ili asishiriki kwenye uchaguzi pia alitaka kumtumia huyu Kapwani kwa nafasi yake ndani ya chama ili aharibu pia Iringa mjini, mipango ikagundulika baada ya hapo bwana Kapwani tiyari ni mlemavu maana alipatwa na stroke.

Hivi sasa karuhusiwa kurudi kwao, hawezi tena kutembea peke yake. HIYO NI LANA YA WAPENDA MABADILIKO?
 

omarilyas

JF-Expert Member
Jan 24, 2007
2,130
1,195
Typical RIGHT WING mentality.....Chuki hazineemeshi kura ndugu zangu...hamjasoma bado!!!
 

bojuka

Senior Member
Sep 9, 2010
128
0
adhabu ya dhambi ni mauti aliwatenda vibaya wananchi wa jimbo la Isimani na MUNGU anajibu maombi. Hakika kila mmoja atahukumiwa kwa matendo yake.

Namuombea kwa Mungu ili aweze kupona.
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,213
2,000
Huyu hawajui vizuri Wakinga na Wahehe, hata hivyo wamemhurumia sana kama bado anaona jua!
Vinginevyo wangeshamfanya HAMNA siku ileile!
 

Double X

Senior Member
Nov 4, 2010
184
0
Aibu na kashfa kwa lukuvi,nako haka kabwana kana vi-element element vya ufisadi.
 

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
0
Provide us evidence.

My take:

I'm not sure about this event but if its true that he was given money and a car then i have started believing the words of Makamba that "wanasumbuliwa na njaa". In other words, many of those going for opposition are hungly if given something, then disappear!


But I have a strong belief that many of us are not hungly (of hunger) but of development.
 

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,938
2,000
Provide us evidence.

My take:

I'm not sure about this event but if its true that he was given money and a car then i have started believing the words of Makamba that "wanasumbuliwa na njaa". In other words, many of those going for opposition are hungly if given something, then disappear!


But I have a strong belief that many of us are not hungly (of hunger) but of development.
njoo IRINGA utapata evidence kama unataka ila habari ndiyo hiyo jamaa ni mlemavu toka zilipoanza kampeni hata hizo hela na gari hajavienjoy kabisa.
 

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,171
2,000
Kama aliuza utu wake kirahisi hivyo Na basi Adhabu itokayo kwa MUNGU imuadhibu vikali, siyo kwake huyu tu bali kwa wachakachuaji wote
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
9,888
2,000
Binafsi namuombea apone ugonjwa wake. Ili kama alliwatenda wanamabadiliko basi aje kuona jinsi gani mabadiliko yanavyoweza kuja licha ya kuwepo wasaliti....
 

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,386
2,000
Anatumikia adhabu yake ya kifungo cha nafsi hapa hapa duniani.
Next time ajifunze kuhurumia maskini wa tanzania.
aliweka pesa mbele, sasa anazitumia mbele kujitibia
 

Thesi

JF-Expert Member
Aug 8, 2010
1,000
1,195
Namwombea Mungu apone hta kama alitenda mabaya kiasi hicho. Pia namwombea Mungu amsamehe na anisamehe mimi pia kwa dhambi zangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom