Kila cha darasani ni sahihi. Inategemea unakisema mbele ya nani.
Incest kisayansi ni kosa!!? Unajua jinsi familia za kifalme zinavyooana?
Kinachosemwa ni kua ndugu mkizaliana mnakosa immunity hivyo kama kuna ugonjwa ni sugu kwa mtu A hata mtu Z ugonjwa huo utakua sugu kwake.
So mnajiweka katika hatari ya annihilation.
Kama ulisoma clearly mimi sikukubaliana na incest, ila nilipinga wewe kusema civilized society haziwezi kujadili hiki kitu. Hiyo ni kwakua mimi na wewe civilization tumeirithi na tuliowarithi wanapractice incest.
Go figure.
Jana kuna uzi uliingia hapa ukiwa na maelezo tata ambapo mleta mada aliomba ushauri namna ya kumwepuka binti yake aliyetaka afanye nae mapenzi kabla ya mwanaume mwingine.
Kulikuwa na wachangiaji wa kila sampuli, wengine wakionya na wengine wakisapoti na kujaribu kueleza experiance zao katika kadhia hiyo huku wakichukulia kawaida vitu visivyokuwa vya kawaida.
Nimeona nilete hapa uzi kwa ajili ya watu kujielimisha juu ya madhara makubwa yaletwayo na laana itokanayo na dhambi hiyo.
Mtu yeyote mwenye ufahamu na jambo hili nakaribisha mchanngo wake na ntakuwa napandisha michango kama updates hapa kwenye uzi iwe rahisi kwa wasomaji kupata mawazo constructive moja kwa moja.
Karibuni.
Amekuzidi miaka ngapi?Niliwahi kumla shangazi yangu baada ya kunitega mwaka mzima. Alikuwa akikaa vibaya tukiwa wawili sijui ilikuwaje hatimaye nikazini naye
Yaani ht sikuufungua baada ya kuona ile tittle!Nakushukuru Moderator kwa kuitikia wito wangu kuuondoa huo uzi kwa kuwa ulikuwa unachochea badala ya kuelimisha
Mkuu mshana..Ina ukakasi lakini haina laana kivile la sivyo wahindi wangekwisha wote....
BTW kwenye Biblia takatifu kuna kisa cha Lutu kulala na binti zake..... Kuna ujumbe mkubwa sana pale
NB: mimi Sina hizo tabia na siungi mkono
Na uyo mumeo mwana wa NaniHakuna laana sisi wote watoto wa baba mmoja adamu
Watoto wa adam wao walikuwa na maagano gani???Na tunajua kua wengi hufanya hivo sbb ya maagano fulani fulami kwa ajili ya mali!
Na hii inaenda vizazi 4
Unaelewa tofauti ya agano la kale na jipya?Watoto wa adam wao walikuwa na maagano gani???
Basi agano la 1 tungelifunga lisingekuwa na maana!!tungekeletewa biblia ya agano la 2.Unaelewa tofauti ya agano la kale na jipya?
Yaliyofanyika agano la1 ambayo yalikuwa sahihi kwa kipindi chao lkn si sahihi kwa wakati huu,unaelewa?
Swali lako ni sawa na hili
Suleimani alioa wake wengi na haikua kosa, lkn ss mkristo harusiwi kuoa zaidi ya mke 1!
Kumbuka hakuna kosa kama hakuna sheria!
Yesu hakuja kutangua torati bali kutimiliza ...unaelewa maana ya hii sentensi?!Basi agano la 1 tungelifunga lisingekuwa na maana!!tungekeletewa biblia ya agano la 2.
Na ndio maana bado tunatumia amri 10 za Musa. Ingawa alipewa awapelekee Wana wa israel.
Au kuna vya kuchagua na kunyofoa agano la kale kwa tunavyovipenda tu.