Laana na mikosi inayotokana na zinaa, hii kitu ina uhalisia?

Bora siye tunaopiga nyeto hatuwezi pata iyo mikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujidanganya kaka. Unapopiga mgalala, ujue kabisa pepo wabaya ( sukubus, au sukubi) wanachukua mbegu unazomwaga hovyo, na kwenda kuzalisha demons.
Kwa mchezo wako wa kumwaga mbegu hovyo bafuni, chooni , au hata sakafuni jiandae, kaa ukijua kuwa una watoto demons huko katika vilindi vya maji.
Kalaga bahho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi

Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi

Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashifikiri kuna cha kujifunza hapa, .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujidanganya kaka. Unapopiga mgalala, ujue kabisa pepo wabaya ( sukubus, au sukubi) wanachukua mbegu unazomwaga hovyo, na kwenda kuzalisha demons.
Kwa mchezo wako wa kumwaga mbegu hovyo bafuni, chooni , au hata sakafuni jiandae, kaa ukijua kuwa una watoto demons huko katika vilindi vya maji.
Kalaga bahho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Illiteracy is real!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu toka lini mikosi ikaambukizwa ? wanaambukizana magonjwa sio mikosi
Mikosi na balaa zinambukizwa kupitia uzinzi na uasherati. Hata kifafa kinaambukizwa kupitia njia hii.
Wengi wanasema kuwa kifafa ni ugonjwa unaotokana na kasoro kwenye ubongo. Lakini fahamu kuwa ukilala na mwanamke mwenye kifafa, lazima utakuwa umekiingiza katika uzao wako.
Kuna jamaa mmoja alitueleza kuwa alizini na mwanamke miaka ya 19seventies, alikuwa dreva , baada ya Siku mbili si akagonga punda (kihongwe). Akaendelea na safari yake alipofika, kesho yake akasimamishwa kazi katika mazingira ya kutatanisha , baada ya wiki, akatimuliwa kazi.
Kalaga bahho!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ni kweli madem wangine gundu tuu
wapo...
# ukimuudhi hupati pesa

#ukiachana nae utapata mabalaa tena unaeza ukakosa dem wa kupiga mashine hata mwaka mzima
#wapo ambao ukimgonga tuu na balaa zinaanzia hapo ukikaa vibaya hata kazi unapigwa chini

m ni muhanga wa izo mambo baada ya maovyohovyo ya muda mref nkamtafta sheikh 1iv akanpiga dua now nko sawa kbs ofkozi sketi ilkua haikatizi lkn asaiv...uii kula kwa macho somtyms sio dhambi

bar flan ivi kuna booonge la toto ila sasa mkakaa nae tuu lazima ngumi zipigwe sjui hata ni nini
Ndio nilikua najaribu kudadisi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikosi na balaa zinambukizwa kupitia uzinzi na uasherati. Hata kifafa kinaambukizwa kupitia njia hii.
Wengi wanasema kuwa kifafa ni ugonjwa unaotokana na kasoro kwenye ubongo. Lakini fahamu kuwa ukilala na mwanamke mwenye kifafa, lazima utakuwa umekiingiza katika uzao wako.
Kuna jamaa mmoja alitueleza kuwa alizini na mwanamke miaka ya 19seventies, alikuwa dreva , baada ya Siku mbili si akagonga punda (kihongwe). Akaendelea na safari yake alipofika, kesho yake akasimamishwa kazi katika mazingira ya kutatanisha , baada ya wiki, akatimuliwa kazi.
Kalaga bahho!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vyote Mungu alivipanga kabla avijatokea wacha kumpa lawama mwanamke wa watu , wala hakuna kuambukizana laana bali magonjwa toka shimoni huko
 
Nadhani laana nyingi zinatoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume, unaweza kumvua mwanamke chupi usipooga hiyo siku ikwa ya mikosi na bahati mbaya sana kwako.. Ila kuna wanawake wengine ukimvua chupi siku yako inakuwa ya bahati sana hadi unajishangaa.

Wanaume wengi wamepitia hili..

Ukisha mfahamu demu fulani anabahati ukimkula basi hiyo siku hauogi.
Unapofanya mapenzi na mtu jua kabisa mnabadilishana roho chafu na nzur, mizimu na laana zote za mabibi mnabadilishana, kama mmoja wenu alikuwa na mikosi inamwandama jua kabisa umeibeba na wew hio mikosi

Tendo la ndoa ni jambo kubwa mno watu siku hizi wamelichukulia kama kiburudisho, mpaka nyuma ya choo wanavuana vyupi

Ndio maana unaweza fanya na mtu leo mapenz ghafla kazin ukaanza kuchukiwa bila sababu, pesa inaanza kuonekana ngumu na inapotea kabisa, mambo yanaenda ovyo mpaka kazi unaweza timuliwa, unabaki unajiuliza tuu bila kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora siye tunaopiga nyeto hatuwezi pata iyo mikosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madhara. Ungekuwa unafanya kazi kama za uwindaji, uvuvi au kwenye uchimbaji mdogo wa madini ungekuwa umeshaunganisha dot na kuyabaini. Mi huo mchezo nishaufanya na nilishautathimini kulingana na mapato ya siku husika. Tena bora hata uzinzi kuliko chaputa inavyofunga nyota katika kipato. Sema tu uzuri huwa gundu lake halidumu zaidi ya siku moja. Ndiyo maama huwa nivigumu kuyabaini matatizo yake. Maana kesho. mambo yanaenda sawa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom