Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,236
- 1,257
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pale ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo.
- Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi.
- Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction.
- Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu imelala. =======================
Update: 16/05/2020
==================================== Update: 09/09/2020. Naona Punde si punde flyover itakamilika, hongereni waTanzania!