Story of Change Laana huathiri mafanikio: Ukifanya mambo haya, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako

Elivius

Member
Sep 6, 2021
22
75
Na Elivius Athanas.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.
 
Upvote 3

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
5,350
2,000
Kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu na ukafahamu fika kaoa au kaolewa. Hii pia ni Laaana mbaya sana jaman

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

Acheni kukuza mambo, wangapi tunawaona mitaani wanakula good time mpaka uzeeni vizuri na ni washutumiwa wa hayo matukio? Wabongo kwa ku overrate mambo hampo nyuma kwa kweli
 
Benbulugu

Senior Member
Sep 14, 2016
110
225
Kuna mambo mengi husababisha hayo mambo aliyotaja mleta uzi ni moja wapo,

Kuhusu hoja yako pia kuna sababu nyingine nyingi moja wapo laana za ukoo inayousishwa na mizimu ya ukoo hiyo pia ni maarufu sana kwenye kuathiri maisha yetu na uchawi pia
Kweli mkuu,yaani hilo somo hapo juu nikubwa mno natunahitaji ufafanuzi zaidi maana hayo mambo yapo Kati yetu wanajamiii
 
Benbulugu

Senior Member
Sep 14, 2016
110
225
Hayo mambo ni moja ya sababu za mtu kupata mikosi. Ila kama mtu anapata mikosi na hajafanya hayo, huenda zikawa ni sababu zingine nilizozitaja mwanzo kama vile, pingu za kiutamaduni (ushirikina), kasoro za kibinadamu, nyota na kadhalika.
Unapozungumzia kasoro zakibinadamu unamaanisha nn mkuu
 
Benbulugu

Senior Member
Sep 14, 2016
110
225
Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.
Nakuomba Mr mshana,Kwa unyenyekevu mkubwa muwasilane namtoa mada,kuuupa huu Uzi hadhi yake,nadhani kuna mengi yakujifunza au hayajaandikwa hapa ambayo wanajamvi tunahitaji kujifunza ,naimani huu Uzi unapelea baadhi ya nyama
 
Benbulugu

Senior Member
Sep 14, 2016
110
225
Mbona nchi zote zilizoendelea , USA, UK, German, France, Japan, Italy etc. Ni wezi sana wa malighafi toka Africa, USA waliua Sana Indian millions of Indian , German waliua sana na kuiba Africa, kama ilivyo France, Italy, UK lakini wako juu sana kimaendeleo na nyanja zote.
Daaahh,sema watu mna Akili kubwa snaa,,dahhh,napia nasikia eti huwezi Kua namali yakiwango cha ubilionea bila kuchafuka mikono, either kumwagadamu,a
U dhuluma Kwa wananchi kama wanavyofanya wanasiasa wengi ,hela zamiradi wanapiga,nakujirimbikizia Mali,au hii imekajee wakuu
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
9,120
2,000
Na Elivius Athanas.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.
Kwako wewe mafanikio ni nini ?
 
billgate

JF-Expert Member
May 6, 2021
363
500
Namshukuru Mungu hizo dhambi zote sina na namuomba Mungu aendelee kunisimamia nisitekwe na shetani akanirubuni,amen.
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
9,567

Duh
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
5,724
2,000
Kwani Ayubu alifanya nini mbona alipitia mapito magumu, Yesu alifanya nini mbona aliuwawa msalabani? Freeman Mbowe mbona anaandamwa na mikosi. Usikariri
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,976
2,000
Kwa nionavyo mimi laana ni suala la kisaikolojia zaidi.

Suala la kuishi kwenye Neema au kinyume chake inatosha kuwa kipimo cha Mtu kulaanika au kubarikiwa?.

Hawa Viongozi wetu wa Kiimani wengi wao ni Waongo na Matapeli, tena wanavuka na mipaka maana wanatumia hata Jina la Mungu na Mitume wake (kutegemea na imani husika) na wanaishi kwa kupata kila wanachokihitaji cha kidunia...Je ni sawa kutumia hilo kama wao kama kipimo cha waliobarikiwa?.
 
Teknologist

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,333
2,000
Na Elivius Athanas.
0745937016.

Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na mikosi katika maisha yako?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya kukataliwa?
Ulishawahi kujiuliza kwanini unaandamwa na roho ya madeni?
Ulishawahi kujiuliza kwanini ukipata pesa hazikai (ndio mataizo yanajitokeza)?
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kutokea kwa hayo. Mfano, pingu za kiutamaduni (ushirikina), laana, masuala ya nyota, kasoro za kibinadamu na kadhalika.

Makala hii, inajikita zaidi katika kuyaorodhesha na kuyachambua mambo mbalimbali ambayo mtu akiyafanya, atapata laana itakayomsababishia mikosi katika maisha yake na mambo mengine niliyoyataja hapo juu.

Kabla ya kuchambua mambo hayo, nifafanue kwa ufupi maana ya neno "laana".
Laana ni nuio au kauli fulani anazozitamka mtu baada ya kukosewa kama adhabu kwa mkosaji. Hiyo ndiyo laana isababishwayo na mwanadamu.

Lakini pia kuna mambo ambayo ukiyafanya, utapata laana ambayo itakusababishia mikosi katika maisha yako.

Epuka sana mambo yafuatayo yatakusababishia laana itakayochochea mikosi katika maisha yako na kuathiri mafanikio na amani yako ya moyo.

• Ukimdhulumu mtu
Jasho la mtu huzaa mikosi. Machozi na manung'uniko anayoyatoa mtu aliyeumizwa kwa kudhulumiwa, hugeuka laana itakayokuandama katika maisha yako yote na kujikuta kila unachofanya hufanikiwi. Jasho la mtu halijawahi kumuacha mtu salama. Kudhulumu mtu ni jambo ambalo husababisha mikosi katika maisha.

Dhuluma hii inahusisha kumuibia mtu, kumtapeli mtu, kutokulipa jasho la mtu na kadhalika.
Mfano, kuna msichana alikuwa ameolewa na kaka fulani, maisha yao yalikuwa ya 'kuungaunga' sana. Siku moja huyo kaka akaiba hela zote za mke wake, hela ambazo alikuwa anazitunza kwenye kibubu baada ya kazi ngumu za kiwandani na kuamua kutokomea kusikojulikana.

Baada ya miaka miwili bila mawasiliano wala kupiga simu, siku moja akapiga simu kwa mke wake akisema kuwa "mke wangu naomba unisamehe kwani tangu nichukue hizo fedha, kila ninachofanya hakifanikiwi, kila nifanyalo mikosi inaniandama".

Epuka sana kumdhulumu mtu, utapata laana itakayokusababishia mikosi katika maisha yako.

• Ukiua au kutoa kafara.
Damu ya mtu ni laana, damu ya mtu ni mikosi, damu ya mtu ni nuksi.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina miguu lakini vinatembea, basi ni damu ya mtu.
Ukisikia kuwa kuna vitu havina midomo lakini vinaongea, basi ni damu ya mtu. Damu ya mtu itatembea na wewe kila kona. Damu ya mtu ina nguvu. Ndiyo maana kuna watu wakifanya mauaji wanakosa nguvu za kukimbia na kuamua kukaa ili wakamatwe. Hiyo ni nguvu ya damu. Damu nzito kuliko maji. Kuua ninakokuzungumzia hapa ni pamoja na kuua mtu, kutoa kafara, kutoa mimba, kutupa watoto na kadhalika.

Hayo yote ni mauaji na madhara yake huhusisha mtu kupata mikosi, kutofanikiwa, kutopata mtoto tena, uchizi, matatizo ya kisaikolojia, ndoto mbaya, kufirisika na madhara kadha wa kadha.
Kuna watu wameua, toka waue akili zao hazijakaa sawa, nusu chizi nusu mtu. Laana ya kuua hiyo.
Epuka sana laana ya kuua kwani itaathiri mafanikio na amani yako ya moyo. Hayo yote tisa, kumi utajibu nini kwa Mungu?

• Ukimkana au kumtukana mzazi.
Hakuna laana kubwa hapa Duniani kama kumkana au kumtukana mzazi. Vitabu vya Mungu vinaeleza, "waheshimu baba na mama upate kheri na miaka mingi Duniani".
Huoni kuwa ukiwakana na kuwatukana, utapunguza kheri na miaka mingi?
Kuna watu wameshindwa kufanikiwa maisha yao yote kutokana na laana ya wazazi, kuna watu wamekuwa wakipata tabu na misukosuko katika utafutaji wao kutokana na laana ya wazazi.
Kuna matajiri wamefirisika kutokana na laana ya wazazi.
Kuna wasanii na watu maarufu wameshuka kutokana na laana ya wazazi.
Laana ya mzazi ni maneno machache tu yanayoweza kubadili maisha yako na kukupa tabu na misukosuko milele.
Epuka sana kuwakana na kuwaumiza wazazi ili kuepuka hii laana mbaya.

• Kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Ukifanya hii dhambi hadi shetani mwenyewe anakukataa. Ukifanya hii dhambi ardhi inakulaani. Pamoja na madhara utakayoyapata, laana hii itakupa pepo la kukataliwa na laana ya uchafu. Usidanganywe na ushamba wa utandawazi na dijitali ukashiriki hii laana. Utapata madhara na utakosa cha kujibu mbele ya Mungu wako.
Utandawazi usiwe chanzo cha wewe kulaaniwa.

• Kudharau au kuchoma maandiko au vitabu vya Mungu
Mfano, Bibilia, "Quran", na vitabu vingine vya Mungu. Kuchoma vitabu vya Mungu ni laana ambayo inaweza kukupa mikosi, uchizi na kadhalika.
Laana zote hizo huweza kuathiri mafanikio yako kwa njia moja au nyingine.
Epuka sana hizo laana.

SULUHISHO: UFANYEJE ENDAPO TAYARI UMESHIRIKI HAYA?

Mungu wetu ni mwingi wa rehema na huruma, omba msamaha wa kumaanisha na fanya toba ya kutoka moyoni, atakusamehe.

Ahsanteni.

PROFESA PANGU PAKAVU....

Tunasafisha na kung'arisha Stadi za Kazi na Mishemishe za kitaa .....Zari la Mentali

Kama umeathiriwa na huo "Ujumbe" wa Story of Change
Usikate tamaa na maisha.

Sisi..(Profesa Mti Mkavu na Chawa et al) tunazo njia mbadala za kutumia Utandawazi na Teknohama, kukukomboa na pepo cha chafu za nuksi na mikosi ya kushindwa kupata mafanikio.

Huduma zetu:
-Jinsi ya kuandika barua ya maombi ya Kazi
-Jinsi ya kutumia tovuti na njia za kimtandao kupata "konneksheni" za kazi na za kupiga dili kitaa....
  • Kufahamu njia za kujiajiri au kuwangiza waporipori chaka/cha kike
  • Maarifa ya kupata viza za kuishi na kufanya kazi Ughaibuni
  • Ongezea minofu......

Tuma hela kwenye namba hii....07..........
 
optimist

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
273
225
Kuna mambo mengi husababisha hayo mambo aliyotaja mleta uzi ni moja wapo,

Kuhusu hoja yako pia kuna sababu nyingine nyingi moja wapo laana za ukoo inayousishwa na mizimu ya ukoo

hiyo pia ni maarufu sana kwenye kuathiri maisha yetu na uchawi pia
hakuna mizimu inayotoa laana kwa ukoo wake, mizimu yote inapenda watu wake wafanikiwe, jitahidini kutafuta connection na mizimu yenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom