lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Kumekuwa na "Double Standard" katika hii serikali.
Hivi kwanini Jambo fulani akifanya Mpinzani linaonekana ni baya & na lenye athari mno kuliko likifanywa na Mbunge anayetokea chama tawala?
Mnaikumbuka hii ya Mh Serukamba, licha ya kutamka hilo tusi bado alionekana kupewa ruhusa ya kuendelea kuingea bila kupewa onyo.
Wapinzani wanapo sema wanaonewa Bungeni huwa wanamaanisha na si kwamba wanaigiza.