La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

Aisee mi nimempiga stop demu kuvaa hayo madude,uzuri wa mwanamke natural hair.lakini kazi ipo kwa wadada wa kichaga
 
Bora Gf wangu ANYOE KIPARA KULIKO KUVAA WIG. mi nishampiga marufuku, yanaboa coz hayaonyeshi uasilia! Nashukuru tumesikilizana ktk hili!
 
...achilia wigi, hata anayesukia rasta, sijui human hair bla blah, wote wananikera!
pheeww,...

acha niendelee kushabikia wenye Orijino singa na kipilipili kama cha Lizzy!

Khaaaa....yani mpaka rasta ni tatizo?!Tuachieni alternative hata moja jamani...au tukanyoe wote tue na upara watu washindwe kutofautisha kati mama na baba!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hebu ngoja na mie nitoe kauli yangu kabla sijaenda church.
wanawake ni kama mfanyabiashara,mfanyabiashara makin hu-observe kuona ni nin kinapendwa na wengi ktk mazingira aliyopo then atakitafuta na kukipeleka sokoni.
sasa nyie msitake kunambia kuwa wanawake woote wanaovaa wigs/weaving ni wajinga,mwanamke anapoona unamtizama yeye mwenye kipilipili kwa jicho la 'shangazi habari gani' while wewe huyo huyo unamtizama mwenzake mwenye weaving kama la beyonce au rihanna kwa jicho la 'baby come to me' kwa nin asiinde na yeye kuweka weaving?wanawake tunapenda kuwavutia wanawaume hivyo kile kinachowapagawisha ndo tunachokifanya,kwa kifupi nyie ndiye remote control ya muonekano wa mwanamke,kumbuka kabla ya mawigi bibi zetu walichoma nywele zao ili ziwe ndefu na lain,hebu jiulize why and who is responsible kwa haya mahangaiko ya muonekano wa wanawake,ni mwanaume,mkitaka mawig/weaving yapotee mnachotakiwa kufanya ni ukimuona dada ana wig mpe jicho la aaagh pheeew then yule mwenye kipilipili umpe jicho la beibe come to me,mkibehave hivyo wauza mawig watafunga maduka.
Nyie wanaume ni wanafiki,kila siku mkimuona beyonce mko ooh jay z anafaidi ooh beyonce mtamu,mnadhan ni kipilipili kile,ni mawig anavaa.
nyie wanaume ndio pia nawatupia lawama za mkorogo na makalio ya kichina,nyie ndo mnasababisha kina dada wafe na kansa za mamikorogo sbb mkiona msichana mweupe mimacho inawatoka utadhani fundi saa,akipita dada mwenye wowowo hata kama uko na mkeo unamkodolea macho hadi wengine mzabwe vibao ndo mnakumbuka kuwa wife yuko pembeni.
Ninachotaka kusema ni kwamba acheni uwongo,mnayapenda sana mawig,and mawig are there to stay mpaka mtakapotushawishi kwa vitendo kuwa hamyapendi.
Mawig yakupiga marufuku ni kama lile lililokata kata vidole vya klorokwini,mengine yataendelea kuwepo hadi mtakapotushawishi vingine.
 
Duuuu, bado hujanishawishi! Mawigi jamani yanaudhi siyo siri. Vitu nechuro bwana vinanoga mpaka kisogoni. Miye mamsapu wangu nilishamwambia tangu uchumba wetu. Bora hata akinyoa zungu na akanipigia heleni kubwa kuliko akinibandikia wigi hata limkae kiasi gani sipati 'kick' hata moja. Labda ni-recall 'sehemu' nyingine ndipo niipate hiyo kick.
 
Kama mimi vile! Sasa ndiyo unakumbana na binti kajikoboa kisawasawa na kukuvalia wigi halafu lips za midomo imepakwa rangi ya dark brown, kucha za bandia, nyusi za macho nazo zimepigwa rangi kishenzi, kudadeki na kajimwagia pafyumu aliyonunua kwa machinga wa manzese, hapo hakyanani inakuwa kama kinyago cha mmakonde au mdoli unaotembea kwa nguvu ya betri.

Hivi mwanaume ukiopoa binti wa namna hiyo nguvu ya kupanda mlima itatoka wapi hapo??? Jamani akina dada tuwaambieni ukweli vitu artificial vinawaput off wanaume wengi.

Dumelambegu na Gosbert tupo pamoja, nawaungana mkono.
 
Teh teh anaweka wigi afu anadondoshea usoni. ili kila saa awe anazivutia pembeni aone! mwingine anatikisa kichwa zipepee kaa mzungu. karakabao wavaa mawigi. anayevaa wigi pale anachotafuta sio kupendeza bali kuwa sexually attrative. wanakera balaa.
 
HAta mseme nini hatuachi kuvaa mawig, kusuka extension na bla bla zingine.. mambo ya kipilipili sijui natural hair inahuu...
 
Ona mayassa alivotoka chicha. Sasa nambia apite mayassa na mwenye kipilipili utamtazama nani?

HAta mseme nini hatuachi kuvaa mawig, kusuka extension na bla bla zingine.. mambo ya kipilipili sijui natural hair inahuu...
 
Ni hesabu na mie....jamani nachukia hizi nywele zooote za kutengeneza?? hakika wadada wetu hawajui jinsi wanavyo pendeza na nywele zao za asili.
 
hebu ngoja na mie nitoe kauli yangu kabla sijaenda church.
wanawake ni kama mfanyabiashara,mfanyabiashara makin hu-observe kuona ni nin kinapendwa na wengi ktk mazingira aliyopo then atakitafuta na kukipeleka sokoni.
sasa nyie msitake kunambia kuwa wanawake woote wanaovaa wigs/weaving ni wajinga,mwanamke anapoona unamtizama yeye mwenye kipilipili kwa jicho la 'shangazi habari gani' while wewe huyo huyo unamtizama mwenzake mwenye weaving kama la beyonce au rihanna kwa jicho la 'baby come to me' kwa nin asiinde na yeye kuweka weaving?wanawake tunapenda kuwavutia wanawaume hivyo kile kinachowapagawisha ndo tunachokifanya,kwa kifupi nyie ndiye remote control ya muonekano wa mwanamke,kumbuka kabla ya mawigi bibi zetu walichoma nywele zao ili ziwe ndefu na lain,hebu jiulize why and who is responsible kwa haya mahangaiko ya muonekano wa wanawake,ni mwanaume,mkitaka mawig/weaving yapotee mnachotakiwa kufanya ni ukimuona dada ana wig mpe jicho la aaagh pheeew then yule mwenye kipilipili umpe jicho la beibe come to me,mkibehave hivyo wauza mawig watafunga maduka.
Nyie wanaume ni wanafiki,kila siku mkimuona beyonce mko ooh jay z anafaidi ooh beyonce mtamu,mnadhan ni kipilipili kile,ni mawig anavaa.
nyie wanaume ndio pia nawatupia lawama za mkorogo na makalio ya kichina,nyie ndo mnasababisha kina dada wafe na kansa za mamikorogo sbb mkiona msichana mweupe mimacho inawatoka utadhani fundi saa,akipita dada mwenye wowowo hata kama uko na mkeo unamkodolea macho hadi wengine mzabwe vibao ndo mnakumbuka kuwa wife yuko pembeni.
Ninachotaka kusema ni kwamba acheni uwongo,mnayapenda sana mawig,and mawig are there to stay mpaka mtakapotushawishi kwa vitendo kuwa hamyapendi.
Mawig yakupiga marufuku ni kama lile lililokata kata vidole vya klorokwini,mengine yataendelea kuwepo hadi mtakapotushawishi vingine.
khaaa! kumbe beyonce anavaa wigi?, heri mimi nammaindi Shakira.
 
pamoja na kuwa mdada kwakweli sipendi kuongezea mavitu kichwani kwangu ,nafurahia kuonekana kwa muonekano wangu wa asili nywele fupi vaseline yangu twende kazi .
 
Back
Top Bottom