La Liga:Two Horse Race

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
28,991
10,620
Kwa hali inaavyoonekana baada ya ushindi wa kishindo, kwa mara nyingine tena timu mbili za Barca na Real M zitaendelea kushinda na kutawala La Liga,hivyo kupunguza mvuto maana haina ushindanizaidi ya hao wawili tofauti na EPL ambako kuna mtifuano mpaka mwisho wa ligi.Ngoja tusubirri tuone.
 
Villareal wamenza kulalama kuwa watatupwa nje wabaki wawili tu.Ovyo kabisa.
 
Wakuu achenu kukariri habari za kupewa na press za UK. Go and have a look at the respective league tables and then come back and continue with your discussions.
 
huwa najiuliza inakuaje la liga kama haina ushindani timu bingwa zake barca na real husumbua pia timu zingine za ulaya ktk klabu bingwa?naomba jibu
 
Kwa hali inaavyoonekana baada ya ushindi wa kishindo, kwa mara nyingine tena timu mbili za Barca na Real M zitaendelea kushinda na kutawala La Liga,hivyo kupunguza mvuto maana haina ushindanizaidi ya hao wawili tofauti na EPL ambako kuna mtifuano mpaka mwisho wa ligi.Ngoja tusubirri tuone.

1. real madrid (14 games 37 points)
2. barcelona (15 games played 34 points)
3. valencia (14 games played 30 points)
ni 2-horse race labda kwa kigezo cha goal difference lakini otherwise the most recent stats zinaonyesha it's like a 3-horse race kwani mwisho wa msimu ni points tu ndizo zinazo-count.

i can see valencia having a good shout in the title race with a big potential for the last laugh come may 2012. real or barca can enounter some dip in form at some stage - so don't bet against valencia!
 
Hao valencia unaweza shangaa wamekuwaje nafasi ya 3 spain hata pasi za uhakika zilikuwa nadra walipocheza na vibonde chelse.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom