La Dr Steven Ulimboka hatuwezi kuliacha lipite hivihivi!!!!

nchimbi ajiuzulu!!!!!!!! kwa lipi!? mwenyewe umesema iwapo kama ni vyombo va dola ndiyo vimefanya unyama kwa dokta basi nchimbi ajiuzulu. imethibitika kuwa ni vyombo vya dola? acheni kujitekenya wenyewe!
 
ccm hakuna wa kumwajibisha maana wamebebeana siri za ufisadi nzito ambazo wakimuudhi mmoja wao na akaamua kufunguka watasambaratika zaidi ya bomu la neuclear likipigwa sehemu!
 
Kama waliofanya kitendo hiki ni kweli usalama wa taifa basi hawa sio usalama wa taifa tena bali ni wahalifu wa taifa.Natafuta mganga wa kuwavimbisha makalio na korodani.
 
Back
Top Bottom