Hakuna aliye immune na athari maamuzi hayo ya wakubwa fulani kutaka kuifilisi nchi hii...Kikao cha baraza la mawaziri ni siri na kimefanyika ikulu, kwa ulinzi mkali lakini siri za kikao chote zipo kweye gazeti la tanzania daima!!!!
Kutokana na makala ya absoloni kibanda , ya leo ,kikwete anatakiwa kuwafukuza kazi mawaziri wote waliovujisha siri za kikao hicho!!!
Hakuna aliye immune na athari maamuzi hayo ya wakubwa fulani kutaka kuifilisi nchi hii...
Kama mawaziri wanajiona wako immune, basi ndugu zao na wakwe zao kijijini watagaragazwa tu...
So hawana sababu ya kuficha siri(uchafu) huo...
Sawa kabisa kijana hakuna cha siri, kila jambolitawekwa wazi. Huyu Mhs ajiandae kuondoka kwa imperchment very soon than you expect. Wabunge Mawaziri kazeni buti!!!!!!!!!!!Hakuna aliye immune na athari maamuzi hayo ya wakubwa fulani kutaka kuifilisi nchi hii...
Kama mawaziri wanajiona wako immune, basi ndugu zao na wakwe zao kijijini watagaragazwa tu...
So hawana sababu ya kuficha siri(uchafu) huo...
Manaibu Waziri nao huwa wanahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri?
Hii ni sawa na mtu ulokole anautaka na bia anaitaka...shame on them
Kikao cha baraza la mawaziri ni siri na kimefanyika ikulu, kwa ulinzi mkali lakini siri za kikao chote zipo kweye gazeti la tanzania daima!
Nauli yake kuhamia Jeda bado haijatosha jamani.
Mi habari hizi nimezisikia jana jioni nikiwa napigiwa kiatu brashi kwenye kijiwe kimoja hivi kule Mji Mwema Kigamboni na nikayachukulia mzaha tu.
Ha, kufika mjini posta mpya leo asubuhi nakuta habari kwenye gazeti ndio hiyo nikapigwa na butwa.
ushaambiwa ni siri ilikua unadhani hata kama watu wamegundua wao watakubali?Baba askofu, kwa heshima na taadhima usiingie kwenye dhambi ya uwongo kama baadhi ya mapadre, kwa mujibu wa Luhanjo hakukuwa na kikao cha baraza la maziri jana hibyo taarifa zote ni uongo.
Angalizo:
Tanzania Daima lazima iangalie vyanzo vyake vya habari maana si vyote vinavyoitakia mema.