ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,439
- 2,536
Narcos my best seriesWick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Sadest part in S2 ambazo zimeniumiza mno..
Pale Denver alipoona dingi ake kapigwa zaidi ya risasi 1 tumboni adi akatoka pale asee maumivu yake ya kuona dingi yuko kwa hali hio hata mm nimeyafeel..
- Kifo Cha Mosow.
Ngumu sana kuangalia mzee akiwa kwenye hali hio.
Kiukweli nimeumia kidogo nitoe chozi hasa pale Berlin anatoa order helsink alipue tunnel ila profesa anakataa. Wanaanza kugombania remoya kulipua bomu.
- Kifo cha Berlin.
Berlin. "Helsinki break the tunnel thats an orde"
Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.