LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Sadest part in S2 ambazo zimeniumiza mno..
  • Kifo Cha Mosow.
Pale Denver alipoona dingi ake kapigwa zaidi ya risasi 1 tumboni adi akatoka pale asee maumivu yake ya kuona dingi yuko kwa hali hio hata mm nimeyafeel..
Ngumu sana kuangalia mzee akiwa kwenye hali hio.

  • Kifo cha Berlin.
Kiukweli nimeumia kidogo nitoe chozi hasa pale Berlin anatoa order helsink alipue tunnel ila profesa anakataa. Wanaanza kugombania remoya kulipua bomu.
Berlin. "Helsinki break the tunnel thats an orde"

Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
Narcos my best series
 
Niaje wakuu....

Ebana humu JF ndo nilipata kujua kuhusu hii series aseee, Thanks kwa maana imenifanya kuwa busy kuitazama week yote hii ase mpk nimeimaliza.....

Binafsi kila mtu kaplay nafasi yake freshi kabisa, lakini kuna jamaa anaitwa ATURO part ya huyu jamaa niliipenda sana asee Yapili part ya MOSWOW mwanamama jasiri sanaaa yamwisho ni Professor himself...

__________________________________________
Yaani pamoja na kusema umeangalia week yote bado unasema Moscow ni Mwanamama? Au umehadithiwa wewe
 
hakuna mtu amecheza mule ndani kama Berlin, Kifo cha Berlin kilinifanya nikawa sina momentum sanaa na Season 3..
Hata mimi mkuu Berlin ndio kawa favourite character kwangu kuliko wote. Toka mwanzo tu pale anaanza kuongea na mateka niliona aina ya uongeaji wake nikaona huyu mtu yuko smart sana. Kwanza hakasiriki wala hastuki hata kama jambo linatisha. Kiukweli anafana karibia 80% tabia na uongeaji kama T.bag wa Prison Break. Kifo chake kiliniumiza mno..Imebidi nipakue kabisa ile soundtracks iliyokua inaimba wakati anapigwa risasi.. Inaitwa Bella Cíao
 
Bella Cìao

Bonge moja la soundtrack

Halafu nilikereka sanaa Trailer la S3 inaonekana kama Berlin yupo ndani,
Ile nimeangalia Episode ya kwanza tuu
Nilishikwq na hasira kinyama...

Unakumbuka formation ya Arturo na Berlin

“Little Atruro”

Berilin is bestest,,,
 
Tafuta na Season 3 sasa uone heist nyingine!..
Narcos sikuwahi ifatiria lakini wanasema nzuri, inahusu masuala ya drugs nadhani inamhusu El Chapo!.
Inamuhusu Pablo Escobar, sio El Chapo.

Ila kuna series ya El Chapo ..

El Chapo na Escobar ni watu wawili tafauti.
 
Bella Cìao

Bonge moja la soundtrack

Halafu nilikereka sanaa Trailer la S3 inaonekana kama Berlin yupo ndani,
Ile nimeangalia Episode ya kwanza tuu
Nilishikwq na hasira kinyama...

Unakumbuka formation ya Arturo na Berlin

“Little Atruro”

Berilin is bestest,,,
Yeah Berlin yuko smart sana kuliko hata Prof kwenye kudeal na matatizo..Prof anaweza kutetemeka kabisa ila Berlin anafurahi. Ngoja nikatafute leo muvi ya Batman Dark knight nimfananishe Joker na Berlin
 
Aturo haha jamaa anavituko hatari, s03 amejikuta Hero
Bella Cìao

Bonge moja la soundtrack

Halafu nilikereka sanaa Trailer la S3 inaonekana kama Berlin yupo ndani,
Ile nimeangalia Episode ya kwanza tuu
Nilishikwq na hasira kinyama...

Unakumbuka formation ya Arturo na Berlin

“Little Atruro”

Berilin is bestest,,,
 
Unajua Berlin ni alikuwa mgonjwa na alishakata tamaa kabisa na ndomana ata taarifa mbaya alipozipata hakuwa na hesitation ya aina yoyote kwakuwa alijua mm ni wakufa tu but Professor nae kwann alikuwa anatetemeka sana pale mambo yalipokwenda ovyo, nafikiri kwanz kwakuw alikuwa na ukosefu kwa kupata mambo fulani(sex) Pili matatz yake ya utotoni...
Yeah Berlin yuko smart sana kuliko hata Prof kwenye kudeal na matatizo..Prof anaweza kutetemeka kabisa ila Berlin anafurahi. Ngoja nikatafute leo muvi ya Batman Dark knight nimfananishe Joker na Berlin
 
Tafuta na Season 3 sasa uone heist nyingine!..
Narcos sikuwahi ifatiria lakini wanasema nzuri, inahusu masuala ya drugs nadhani inamhusu El Chapo!.
Hatimae nimepata Complete S3 naona mambo ni motoo.. Hapa ndio nalala nimecheki episode 4 kesho namalizia nne..
Nairobi ni nyoko sana aseee.. Who we are? We are fucking Best...!!! Palmero kanivutia ila naona kapata majanga mapema.. sijaui ataongoza vipi kundi! Ngoja nione hoyo kesho
 
Mkuu season 2 Ina episode ngapi!?? Nmeishia s02 episode ya 8(Tokyo karudi benk na boda,Moscow shot, professor kamzimsha Raquel),
ila s01 zilikuwa Kama 16 hivi... Naomba link bas ya kushusha mzigo
 
Mkuu season 2 Ina episode ngapi!?? Nmeishia s02 episode ya 8(Tokyo karudi benk na boda,Moscow shot, professor kamzimsha Raquel),
ila s01 zilikuwa Kama 16 hivi... Naomba link bas ya kushusha mzigo
My bad budy ina kama episode 11 hv kama sijakosea.. Hua sipakui sirizi mm either ninunue au nipewe. Hii S3 nimeletewa hata Link ya kupakua sifahamu mkuu..
 
Back
Top Bottom