LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
Tafuta na Season 3 sasa uone heist nyingine!..
Narcos sikuwahi ifatiria lakini wanasema nzuri, inahusu masuala ya drugs nadhani inamhusu El Chapo!.
 
Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Sadest part in S2 ambazo zimeniumiza mno..
  • Kifo Cha Mosow.
Pale Denver alipoona dingi ake kapigwa zaidi ya risasi 1 tumboni adi akatoka pale asee maumivu yake ya kuona dingi yuko kwa hali hio hata mm nimeyafeel..
Ngumu sana kuangalia mzee akiwa kwenye hali hio.

  • Kifo cha Berlin.
Kiukweli nimeumia kidogo nitoe chozi hasa pale Berlin anatoa order helsink alipue tunnel ila profesa anakataa. Wanaanza kugombania remoya kulipua bomu.
Berlin. "Helsinki break the tunnel thats an orde"

Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
Narcos Ni nzuri..inaeleza maisha ya kipindi Cha Pablo Escobar..kipindi Cha kuuza unga Colombia..pia ipo na narcos Mexico.. inaongelea madawa.. Mexico..miaka hiyo ya 80 na 90
 
Hii series haina hata uhalisia, nimejaribu kuiangalia lakini nimeshindwa. Kama alivyosema mdaiu mmoja utoto mwingi sana.
 
Hii series ni the best kwakweli, binafsi natamani season 4 itoke mapema...but kuna some moments kwenye hii season zinaboa kwakwel mtu anaona yupo critical analeta ujinga in reality huwez fanya ivo aseee but kuna some moments u feel like to cry, mfano s03 ep ya mwisho the way askari wamewatrick Wavamizi wamempiga risasi Nairobi,act like they kill Professor's mistress asee some one to wipe this tears pls but its good series wamejitahidi sana.....

The nimefatilia hii ni series ambayo inatuzo nyingi sana, tuzo kama 14 km sikosei na nominations kibwena......
 
Raquel ndani ya team now S03 yoto pia but huzuni sana....
Series moja Kali kutokea!!!!Raquel aliishia wapi niliona trailer kama alimfuata El Proffesor kule alipoenda!Rio,Nairobi,Tokyo hawa watu noma....ngoja nicheki muendelezo wake S03 sikujua kuwa ishatoka!
 
Niaje wakuu....

Ebana humu JF ndo nilipata kujua kuhusu hii series aseee, Thanks kwa maana imenifanya kuwa busy kuitazama week yote hii ase mpk nimeimaliza.....

Binafsi kila mtu kaplay nafasi yake freshi kabisa, lakini kuna jamaa anaitwa ATURO part ya huyu jamaa niliipenda sana asee Yapili part ya NAIROBI mwanamama jasiri sanaaa yamwisho ni Professor himself...

__________________________________________
 
Hii series ni the best kwakweli, binafsi natamani season 4 itoke mapema...but kuna some moments kwenye hii season zinaboa kwakwel mtu anaona yupo critical analeta ujinga in reality huwez fanya ivo aseee but kuna some moments u feel like to cry, mfano s03 ep ya mwisho the way askari wamewatrick Wavamizi wamempiga risasi Nairobi,act like they kill Professor's mistress asee some one to wipe this tears pls but its good series wamejitahidi sana.....

The nimefatilia hii ni series ambayo inatuzo nyingi sana, tuzo kama 14 km sikosei na nominations kibwena......

Kifo cha Berlin kilinifanya nisiwe na momentum sanaa na Season 3..
Berlin nilikuwa namkubali sanaaa..

Vipi kicheko
Cha Denver
 
Mimi nina english dubbed version ila nataka yenyewe wanayoongea kihispania ..Inanoga zaidi.
 
Kweli Suicide ya Berlin iliumiza wote lakini ukumbuke bila jamaa kujisucrifice, maybe professor na wenzake wasingepata muda wakutoka aseee....
Kifo cha Berlin kilinifanya nisiwe na momentum sanaa na Season 3..
Berlin nilikuwa namkubali sanaaa..

Vipi kicheko
Cha Denver
 
Katika Kila Movie Unayoangalia Lazima Kuwe Na Character Ambaye Audience Ata Mfollow....Mfano Sehemu Akipitia Magumu Lazima Upite Nae Sometimes Akilia Unajikuta Hata Ww Machozi Yana kulengalenga.. Money Heist Berlin Ndo Alikuwa My Favorite Character The Next One N Professor Hawa Watu Ndo Walichukua Attention Yangu Kabisa...Spines Zao Zinamashiko Haswa.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom