LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Ni bonge la season ila shida inakuja season two kila nikidownload subtittle inachengana na maneno kwahiyo nakua siifaidi vizuri site ipi nzuri nitapata subtittle
 
Tizama homeland.

Utanishukuru baadae!
Sijaona "uhalisia" unaouzungumzia katika Homeland...
Mambo mengi niliyoyaona kwenye Homeland ni vigumu kutokea kwenye ulimwengu halisi wa "intelligence"...
Halafu unaweza kukuta unazungumzia " uhalisia" katika movies/series wakati huohuo umeshaangalia series kama GOT...
Then,hivi unajua kwanini movies za science fiction huwa zinaongoza kwa mauzo..?
 
Nilijua utaniambia Movie flani cool eti HOMELAND yani out of all umeona HOMELAND ndo series kali!!..
Sasa sikia ukitaka kua mjanja zaidi tazama hizi (Boston Legal, House of Cards, CSI zote, Madam Secretary, Designated Survivor, The Bodyguard, One Tree Hill, The OC).

The Bodyguard sijui inatoka lini aise
 
Series moja Kali kutokea!!!!Raquel aliishia wapi niliona trailer kama alimfuata El Proffesor kule alipoenda!Rio,Nairobi,Tokyo hawa watu noma....ngoja nicheki muendelezo wake S03 sikujua kuwa ishatoka!
 
Tizama homeland.

Utanishukuru baadae!
Homeland imetulia sana tu
IMG-20190811-WA0021.jpeg
 
Kiukwel mm hii money heist naichekig kupotezea muda to lkn haina uhalisia kabisaaaaa.yaaan hao majambaz wenyew mara waingie kwenye mahaba na watekwa, mara wakasirikiane kipuuz tu utasema wanaiba dukan kwa mang
 
Wick Usiku huu ndio nimemaliza kuangalia s2. Kiukweli hii series nimeipenda mno na imefanya wikendi yangu kua lit..
Sadest part in S2 ambazo zimeniumiza mno..
  • Kifo Cha Mosow.
Pale Denver alipoona dingi ake kapigwa zaidi ya risasi 1 tumboni adi akatoka pale asee maumivu yake ya kuona dingi yuko kwa hali hio hata mm nimeyafeel..
Ngumu sana kuangalia mzee akiwa kwenye hali hio.

  • Kifo cha Berlin.
Kiukweli nimeumia kidogo nitoe chozi hasa pale Berlin anatoa order helsink alipue tunnel ila profesa anakataa. Wanaanza kugombania remoya kulipua bomu.
Berlin. "Helsinki break the tunnel thats an orde"

Mkuu niambie na Narcos iko vipi maana nayo ipo ila sijawahi kuiangalia wala kufuatilia kama inahusu nini.
 
Back
Top Bottom