LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Napenda Sana watu wanaojiamini kupitia za Berlin Ni kiboko ya madoa
Jamaa anajihamini sana, nakumbuka kipindi amewekwa chini ya ulinzi na wenzie na kawekewa bastola lakini jamaa anacheka tu
Halafu huyu berlin si atakuja kufa kwa ugonjwa?
 
kwenye hii season ya 3 nadhani ndio byebye baada ya watu kuwaelewa mno mpk kuanzisha naandamano prof kakosea ku ajiri, kaweka watu ambao sio strategic kabisa... nadhani ilikuwa ndo nia yao ili movie iishe kwa stail ile, afadhak wasingetoa hio 3
Hii ya maanadamano sijailata, ilikuwaje
 
Kuna jamaa anaitwa Proffesor kipindi mtoto alikuwa mgonjwa so most ya utoto wake akauspend kitandani. But baba yake alikuwa ni mwizi aliyekuja kufa kwa kupiga risasi alipoiba bank ili apate hela kumtibu dogo!. Hapo ndio hate ilipoanzia.
Professor akasuka mpango wa kuvamia kiwanda cha kutengeneza hela ili waibe mpunga mrefu kuwahi ibwa (kwa kuuprint wenyewe).
Ule mpango ulipokamilika akatafuta wezi wenye sifa special ili kuifanya ile kazi.
Siku ya kuwakutanisha akawaambia ili wakiiba wasije tajana basi kila mtu achague jina la mji kama utambulisho wake!. Hii itafanya mmoja akidakwa asiwe na taaria yoyote kuhusu majina ya kweli ya wengine.
Kitu special kuhusu Proffessor ni kwamba kila jambo mpaka mistakes zilikuwepo kwenye plan yake. Kila wanachofanya Polisi na wenzie alivipanga yeye!...
Wanasema wanaume huwa ni wadhaifu kwa wanawake na huwa rahisi kutoa siri..
But, profesa kwa raquel alikuwa mgumu kutoa siri
 
Weka hizo illegal tujilipue
The Wait is OVER 😄😄 Now Come and Get...

NETFLIX PREMIUM PACKAGE Account 😉

For 1 Year with Four Screen at Once..

Features;
Streaming and Downloading ✅

HD ✅

4K Ultra HD ✅

Come PM for more details.
 
Mpaka sasa nimemuelewa zaidi Berlin naona yuko smart zaid ya Profesa.. Afu wanavyopalulana wao kwa wao hata sielewi hili dili wanalimaliza vipi
sasa kuna mjinga mwingine engineer anaitwa Palermo wait uje muona!!.
Huko kuparuana ndo flavor inavyokuja sasa!!..:D
 
sasa kuna mjinga mwingine engineer anaitwa Palermo wait uje muona!!.
Huko kuparuana ndo flavor inavyokuja sasa!!..:D
Kumpiga risasi Monica,Kuacha simu yule binti akaichukua.. Nayo ilikua ni plan??
 
Kumpiga risasi Monica,Kuacha simu yule binti akaichukua.. Nayo ilikua ni plan??
Hiyo haikuwa kwenye plan lakini isingekua na madhara makubwa!!..
Prof hapendi kutumia violence, ndio maana Berlin alikuja adhibiwa mbele kama umefika hiko kipande!..
 
Hiyo haikuwa kwenye plan lakini isingekua na madhara makubwa!!..
Prof hapendi kutumia violence, ndio maana Berlin alikuja adhibiwa mbele kama umefika hiko kipande!..
Bado sijafika.. Ila Berlin hana tofauti na T bag.. do wanatoka nje season ipi..?
 
Back
Top Bottom