LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tutarajie nini??

Mchezo ulitakiwa chezwa ndani ya siku 13 hii ni sababu ya kuchimba taratibu sana ili Polisi wasisikie vibration wakajua wapi panachimbwa!.

Plan ya Proffessor ilikuwa 100% perfect na aliimplement padogo sana, aliyeharibu plan alikuwa Tokyo (she is a hot headed) na baadae Denver ila TOKYO akifa hataacha maumivu!.
My guess: Nairobi anakuja Africa!
R.I.P Mr. Berlin!
Napenda Sana watu wanaojiamini kupitia za Berlin Ni kiboko ya madoa
 
kwenye hii season ya 3 nadhani ndio byebye baada ya watu kuwaelewa mno mpk kuanzisha naandamano prof kakosea ku ajiri, kaweka watu ambao sio strategic kabisa... nadhani ilikuwa ndo nia yao ili movie iishe kwa stail ile, afadhak wasingetoa hio 3
 
Hii kitu ilinifanya niwe nalala usiku mkubwa sana
255716964440_status_fd7ea230b2944dd7acd0becf18248864.jpeg
IMG-20190720-WA0008.jpeg
 
WEwe ni huyo Profesa umekuja kUjipa promo.

As Usual in Jf hiyo koment lazima iwepo
 
EHEE nsdhani hujampata purofesa fureshi muzeee
kwenye hii season ya 3 nadhani ndio byebye baada ya watu kuwaelewa mno mpk kuanzisha naandamano prof kakosea ku ajiri, kaweka watu ambao sio strategic kabisa... nadhani ilikuwa ndo nia yao ili movie iishe kwa stail ile, afadhak wasingetoa hio 3
 
Tell me about money heist. Ninayo kwenye externsl ila hua nadharau kuiangalia naons ya hovyo
Season 1 na 2 iko vizuri season 3 wameipoza kidgo ili season 4 moto uwake

Maana walkua wanaiba kistaarabu sasa wamegeuza moto
 
Tell me about money heist. Ninayo kwenye externsl ila hua nadharau kuiangalia naons ya hovyo
Kuna jamaa anaitwa Proffesor kipindi mtoto alikuwa mgonjwa so most ya utoto wake akauspend kitandani. But baba yake alikuwa ni mwizi aliyekuja kufa kwa kupiga risasi alipoiba bank ili apate hela kumtibu dogo!. Hapo ndio hate ilipoanzia.
Professor akasuka mpango wa kuvamia kiwanda cha kutengeneza hela ili waibe mpunga mrefu kuwahi ibwa (kwa kuuprint wenyewe).
Ule mpango ulipokamilika akatafuta wezi wenye sifa special ili kuifanya ile kazi.
Siku ya kuwakutanisha akawaambia ili wakiiba wasije tajana basi kila mtu achague jina la mji kama utambulisho wake!. Hii itafanya mmoja akidakwa asiwe na taaria yoyote kuhusu majina ya kweli ya wengine.
Kitu special kuhusu Proffessor ni kwamba kila jambo mpaka mistakes zilikuwepo kwenye plan yake. Kila wanachofanya Polisi na wenzie alivipanga yeye!...
 
Back
Top Bottom