LA CASA DE PAPEL (Money Heist) S03: Tujikumbushe sehemu ya 1 na 2 na tarajie nini??

Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,055
Points
2,000
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,055 2,000
LA Casa De Papel ndio jina la huu mzigo. Ulianza kwenda hewani mapema mwaka 2017 ila binafsi nilichelewa kuudaka mpaka mwishoni mwishoni mwaka jana(2018!)

Kiukweli ni moja kati ya TV Shows ambazo ukianza kuitizama hautotaka iishe. Kila ikibanduka utatamani ubandike tena! Mimi nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki! Sikulazimishi ukubaliane na Mimi ila kwa walioitazama wanaelewa naongelea nini.

ieleweke simaanishi kuwatenga ila kama hujaitazama naomba nikupe POLE KUBWA! Sema nini? Kuchelewa ni bora kuliko kuacha kufika kabisa. Uamuzi ni wako.!

Sasa nirejee kwenye mada; Tutarajie nini kwenye sehemu ya tatu? Mengi sana, ndio jibu sahihi. Labda kabla ya kutaja ya kutarajia tujikumbushe kidogo sehemu za kwanza na pili ili utabiri wetu usicheze mbali na uhalisia!

Picha lilianza professor ana-recruit watu kwaajili ya mchongo mmoja wa hela ndefu sana. Mchongo wenyewe ulikuwa nikuiweka mint (nyumba ya kuchapia pesa halali) chini ya usimamizi wao ili wachape hela zao wasepe. Na nikisema pesa ni pesa kweli, plan ilikua ni kuchomoka na zaidi ya Euro Bilioni Moja!!

Ikumbukwe hili jambo haliwezekani kirahisi kwa hivo kila kichwa kilichoshiriki kilikua kichwa hasa na sio watu ilimradi wanakula Bangi hapana.! Ilikua ni watu wenye akili za KUJIONGEZA na sio watumia nguvu.

Nikuambie tu kucheza na Mint ni kama kwenda kambi ya jeshi halafu ukamkate mmoja wao makofi kwa maksudi! Moto wake kuuzima inawezekana ila itategemeana na juhudi zako.

Ndivo ilivokua huku kwa akina profesa. Vyombo vya habari na usalama vililiangalia lile suala kwa ukaribu sana. Vyombo vya habari lengo likiwa ni kuuza habari, kama unavyojua na vya usalama interest kubwa ni kumuokoa mtoto wa balozi bila ya taarifa za uwepo wake kwenye mint iliotekwa kuvuja!

Na nikukumbushe tu, Jamaa ilikua sio kama wanaingia na kutoka baada ya dakika 5 au 30! Kufikia plan yao ilikua lazima wakae ndani ya mjengo kwa zaidi ya siku 10!! Imagine wiki moja na siku nyingine kadhaa. Alafu masta maindi anabaki nje. Ilikua kiwewe balaa!

Walizichekecha sana akili za polisi pamoja na za media! Tokea mwanzo, lao kichwani ilikua ni waweke drama zote wanazoweza ili kuwapotezea polisi muda na wao wachape pesa zao wale kona.

Ila katika kila plan kunakuwaga na ki-error!! Hii ni universal truth, kukuaminisha ni kwamba - hata creation ya Mungu ina error (shetani). Na kwenye plan ya professor error ilikua ni watu kupendana kimapenzi, jambo ambalo alilikataza tokea siku ya kwanza. Ajabu ni kwamba hata yeye aliivunja sheria yake, ila mapenzi bhana!! 😂😂 Sema mwisho kabisa ndio yanamkomboa pia!

Picha linaenda mpaka jamaa wanachomoka na pesa baadhi yao wakiwa wamekufa, wengine wakiwa wamechoka! Ilikua hati hati isio pimika. Ni kama waliponea kwenye mdomo wa Mamba!!

Hayo ni baadhi tu kati ya mengi sana yaliojiri sehemu ya kwanza na pili.

Nikuibie tu utamu kidogo, kuna demu (Tokyo) kati ya walioiteka Mint alifungwa kamba alafu akatupwa nje sababu ya kimdomo sana (kumbe nayo ni plan ya kuwazubaisha polisi) anavowatoroka polisi na kurudi ndani ni balaa hakuna anaeamini!!

Basi mambo ni mengi muda ni mchache! Kiufupi jamaa walipiga hela wakasepa! Huo ndio ulikua mwisho!

Lakini kwa sababu za kibiashara ikawafanya NetFlix wakae chini kuandaa sehemu ya tatu maana picha liliuza sana licha ya kuwa katika lugha ya ki-spain.! Mzigo ukatangazwa utatoka tarehe 19 mwezi wa 7 mwaka huu (2019).

Trela ikaichiwa na tagline kubwa ilikua "We have succeeded to take the money. Now comes the hardest part. Surviving!" Yaani kuishi uraiani alafu umeshailiza serikali ni kipengele sana.

Basi kila mtu akaanza kutabiri la kwake kutokana na alichokiona kwenye trela! Baadhi ya matarajio ni;

1. Kwa kuwa kuna scene 1 ni kama Rio anakamatwa na polisi basi kuna uwezekano wa kitu kugeuka kuwa PRISON BREAK! Kujikomboa.

2. Characters wapya. Mmoja nilim-note ni mwanamama Najwa Nimri. Huyu ndie Raquel mpya (inasemekana) na balaa lake akicheza detective hua ni zito alafu Mara mia. Na usiombe demu awe kitengo cha intelligence, hawa wanawake wanakuaga na 6th sense makini kuliko sisi MaBroo. Profesa ajipange.

3. Utekwaji wa benki nyengine kama njia ya kuwapotezea concentration polisi ili wamkomboe mwenzao.

4. Mengi mazuri 😂😂

Mpaka sasa sina upande ingawa najua profesa atashinda ndio muvi iendelee kunoga. Ni kama Joker kufa kwenye Bat Man haiwezi tokea japo ni jambazi..
Sema antagonist japo wanafeli ila hua wana namna yao mpaka inabidi uishi nao tu.

Tarehe ya kuporomoka ni kesho! Na uzuri wa NetFlix huwa wakiachia dude.. Ni lote linawekwa hapo kazi inakua kwako tu. Hakuna cha episode kila ijumaa!
 
Attachments:

Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
7,908
Points
2,000
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
7,908 2,000
Na nikukumbushe tu, Jamaa ilikua sio kama wanaingia na kutoka baada ya dakika 5 au 30! Kufikia plan yao ilikua lazima wakae ndani ya mjengo kwa zaidi ya siku 3!! Imagine. Alafu masta maindi anabaki nje. Ilikua kiwewe balaa!
Mchezo ulitakiwa chezwa ndani ya siku 13 hii ni sababu ya kuchimba taratibu sana ili Polisi wasisikie vibration wakajua wapi panachimbwa!.
Ila katika kila plan kunakuwaga na ki-error!! Hii ni universal truth, kukuaminisha ni kwamba - hata creation ya Mungu ina error (shetani). Na kwenye plan ya professor error ilikua ni watu kupendana kimapenzi, jambo ambalo alilikataza tokea siku ya kwanza. Ajabu ni kwamba hata yeye aliivunja sheria yake, ila mapenzi bhana!! 😂😂 Sema mwisho kabisa ndio yanamkomboa pia!
Plan ya Proffessor ilikuwa 100% perfect na aliimplement padogo sana, aliyeharibu plan alikuwa Tokyo (she is a hot headed) na baadae Denver ila TOKYO akifa hataacha maumivu!.
My guess: Nairobi anakuja Africa!
R.I.P Mr. Berlin!
 
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,055
Points
2,000
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,055 2,000
["E="Chachasteven, post: 32202256, member: 233503"]
Na nikukumbushe tu, Jamaa ilikua sio kama wanaingia na kutoka baada ya dakika 5 au 30! Kufikia plan yao ilikua lazima wakae ndani ya mjengo kwa zaidi ya siku 3!! Imagine. Alafu masta maindi anabaki nje. Ilikua kiwewe balaa!
Haha! Errors zilikuwepo. Mfano wigi la ki-clown lilimkamatisha kizembe sana!! Pia kufanya mawasiliano ya direct na polisi ilikua hatari!!

Tokyo hawezi kufa. Kama ulikua una-pay attention yeye ndie alikua anasimulia hii stori. Mpaka inaisha bado anatusimulia ila hatujui yupo wapi??

Hata hivyo, Berlin yupo hai kwa mujibu wa trela na Posters. Hii plot twist nadhani ndio uchawi wote wa hii muvi unapoanzia!
 
Ignas lyamuya

Ignas lyamuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Messages
213
Points
250
Ignas lyamuya

Ignas lyamuya

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2019
213 250
Kitu hatari sana yaani pale kama kilaza huingii pale ufala wa Rio alitaka kuwachoma wenzie ndo maana professor akasema huyu jamaa sio matured alitaka amteme mwanzoni
 
o_2

o_2

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Messages
148
Points
225
o_2

o_2

Senior Member
Joined Jul 20, 2017
148 225
LA Casa De Papel ndio jina la huu mzigo. Ulianza kwenda hewani mapema mwaka 2017 ila binafsi nilichelewa kuudaka mpaka mwishoni mwishoni mwaka jana(2018!)

Kiukweli ni moja kati ya TV Shows ambazo ukianza kuitizama hautotaka iishe. Kila ikibanduka utatamani ubandike tena! Mimi nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki! Sikulazimishi ukubaliane na Mimi ila kwa walioitazama wanaelewa naongelea nini.

ieleweke simaanishi kuwatenga ila kama hujaitazama naomba nikupe POLE KUBWA! Sema nini? Kuchelewa ni bora kuliko kuacha kufika kabisa. Uamuzi ni wako.!

Sasa nirejee kwenye mada; Tutarajie nini kwenye sehemu ya tatu? Mengi sana, ndio jibu sahihi. Labda kabla ya kutaja ya kutarajia tujikumbushe kidogo sehemu za kwanza na pili ili utabiri wetu usicheze mbali na uhalisia!

Picha lilianza professor ana-recruit watu kwaajili ya mchongo mmoja wa hela ndefu sana. Mchongo wenyewe ulikuwa nikuiweka mint (nyumba ya kuchapia pesa halali) chini ya usimamizi wao ili wachape hela zao wasepe. Na nikisema pesa ni pesa kweli, plan ilikua ni kuchomoka na zaidi ya Euro Bilioni Moja!!

Ikumbukwe hili jambo haliwezekani kirahisi kwa hivo kila kichwa kilichoshiriki kilikua kichwa hasa na sio watu ilimradi wanakula Bangi hapana.! Ilikua ni watu wenye akili za KUJIONGEZA na sio watumia nguvu.

Nikuambie tu kucheza na Mint ni kama kwenda kambi ya jeshi halafu ukamkate mmoja wao makofi kwa maksudi! Moto wake kuuzima inawezekana ila itategemeana na juhudi zako.

Ndivo ilivokua huku kwa akina profesa. Vyombo vya habari na usalama vililiangalia lile suala kwa ukaribu sana. Vyombo vya habari lengo likiwa ni kuuza habari, kama unavyojua na vya usalama interest kubwa ni kumuokoa mtoto wa balozi bila ya taarifa za uwepo wake kwenye mint iliotekwa kuvuja!

Na nikukumbushe tu, Jamaa ilikua sio kama wanaingia na kutoka baada ya dakika 5 au 30! Kufikia plan yao ilikua lazima wakae ndani ya mjengo kwa zaidi ya siku 10!! Imagine wiki moja na siku nyingine kadhaa. Alafu masta maindi anabaki nje. Ilikua kiwewe balaa!

Walizichekecha sana akili za polisi pamoja na za media! Tokea mwanzo, lao kichwani ilikua ni waweke drama zote wanazoweza ili kuwapotezea polisi muda na wao wachape pesa zao wale kona.

Ila katika kila plan kunakuwaga na ki-error!! Hii ni universal truth, kukuaminisha ni kwamba - hata creation ya Mungu ina error (shetani). Na kwenye plan ya professor error ilikua ni watu kupendana kimapenzi, jambo ambalo alilikataza tokea siku ya kwanza. Ajabu ni kwamba hata yeye aliivunja sheria yake, ila mapenzi bhana!! Sema mwisho kabisa ndio yanamkomboa pia!

Picha linaenda mpaka jamaa wanachomoka na pesa baadhi yao wakiwa wamekufa, wengine wakiwa wamechoka! Ilikua hati hati isio pimika. Ni kama waliponea kwenye mdomo wa Mamba!!

Hayo ni baadhi tu kati ya mengi sana yaliojiri sehemu ya kwanza na pili.

Nikuibie tu utamu kidogo, kuna demu (Tokyo) kati ya walioiteka Mint alifungwa kamba alafu akatupwa nje sababu ya kimdomo sana (kumbe nayo ni plan ya kuwazubaisha polisi) anavowatoroka polisi na kurudi ndani ni balaa hakuna anaeamini!!

Basi mambo ni mengi muda ni mchache! Kiufupi jamaa walipiga hela wakasepa! Huo ndio ulikua mwisho!

Lakini kwa sababu za kibiashara ikawafanya NetFlix wakae chini kuandaa sehemu ya tatu maana picha liliuza sana licha ya kuwa katika lugha ya ki-spain.! Mzigo ukatangazwa utatoka tarehe 19 mwezi wa 7 mwaka huu (2019).

Trela ikaichiwa na tagline kubwa ilikua "We have succeeded to take the money. Now comes the hardest part. Surviving!" Yaani kuishi uraiani alafu umeshailiza serikali ni kipengele sana.

Basi kila mtu akaanza kutabiri la kwake kutokana na alichokiona kwenye trela! Baadhi ya matarajio ni;

1. Kwa kuwa kuna scene 1 ni kama Rio anakamatwa na polisi basi kuna uwezekano wa kitu kugeuka kuwa PRISON BREAK! Kujikomboa.

2. Characters wapya. Mmoja nilim-note ni mwanamama Najwa Nimri. Huyu ndie Raquel mpya (inasemekana) na balaa lake akicheza detective hua ni zito alafu Mara mia. Na usiombe demu awe kitengo cha intelligence, hawa wanawake wanakuaga na 6th sense makini kuliko sisi MaBroo. Profesa ajipange.

3. Utekwaji wa benki nyengine kama njia ya kuwapotezea concentration polisi ili wamkomboe mwenzao.

4. Mengi mazuri

Mpaka sasa sina upande ingawa najua profesa atashinda ndio muvi iendelee kunoga. Ni kama Joker kufa kwenye Bat Man haiwezi tokea japo ni jambazi..
Sema antagonist japo wanafeli ila hua wana namna yao mpaka inabidi uishi nao tu.

Tarehe ya kuporomoka ni kesho! Na uzuri wa NetFlix huwa wakiachia dude.. Ni lote linawekwa hapo kazi inakua kwako tu. Hakuna cha episode kila ijumaa!
Shida ya hiii iko kwa kispanish plus sabtitle uhondo wote unakwisha. Season 1 nimeangalia episode moja pekee.
 
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,055
Points
2,000
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,055 2,000
Kitu hatari sana yaani pale kama kilaza huingii pale ufala wa Rio alitaka kuwachoma wenzie ndo maana professor akasema huyu jamaa sio matured alitaka amteme mwanzoni
😂😂 in real life Rio ni pain in ass ila ki muvi muvi ndio inazidi kunoga kama protagonist watakutana na mitihani mizito mizito! Mfano S03 inaisha Raquel kadakwa na vyombo vya usalama
 
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Messages
1,055
Points
2,000
Chachasteven

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2014
1,055 2,000
hivi huwa mnadiwnload kupitia site gani mkuu?
Kuna illegal sites nyingi zinaweka torrents. Sema I strongly recommend utumie the legal distributor - NetFlix. Ni hela ndogo tu unalipa
 
Forum statistics

Threads 1,325,751
Members 509,278
Posts 32,201,795
Top