Asalam ndungu zangu!
Nimepitia mitandao naona suala la Bandari ya Bagamoyo limeibuka upya. Limeibuka kwamba limepata ufunmbuzi na litatimia. Faida na hasara zake.
A) Faida
1. Uhamishaji wa teknolojia kwa haraka.
Tuliambiwa Kuna viwanda takribani 700 kwenye ukanda wa Bandari na maeneo jirani. Hi ni fursa tuikimbilie.
2. Ajira
Tuliambiwa uzalishaji mkubwa wa ajira. Ajira rasmi na zisizo rasmi. Zisizo rasmi Zina nguvu kubwa sana. Tuzipe nafasi.
3. Utandawazi kimataifa
Bidhaa za Tanzania zitauzwa nje kwa wingi zaidi. Bandari ya Bagamoyo ni kama wazo pana la zile economic zones etc.
Hasara.
1. Hofu
Haina sababu.
2. Wivu
Sifa itaenda kwa nani. Ni no progressive approach.
3. Kufa kwa Bandari kongwe za Dar, Tanga, Mtwara.
Ni ukosefu wa Taarifa. Bandari Bubu Tanzania huenda zinafanya kazi zaidi ya Bandari rasmi.
Tutafiti. Tuamue, Tusonge mbele
Zaidi soma:
Kinagaubaga kuhusu kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Tarehe 28/10/2019 Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo aliandika Makala na kuisambaza katika mitandao ya kijamii akieleza kuwa, anasubiri Bandari Kubwa ya Lamu inayojengwa nchini Kenya izuie bandari ndogo za Dar na Mombasa: Pia kudai kuwa kusitishwa kwa mkataba wa ujenzi wa Bandari ya...
www.jamiiforums.com
Sakata la bandari ya Bagamoyo
Tuseme nampongeza Mh. Raisi kwa uamuzi aliyochukua nikiamini hayo yanayosemwa ni kweli. Lakini kuna maswali ya msingi ya kujiuliza. Je kama JK angekuwa na awamu nyingine, nani angeweza kumzuia kufanya hivyo? Ni imani yangu kwamba JPM na mawaziri wenzake walijua yaliyoko kwenye huu mkataba na kwa...
www.jamiiforums.com
Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10
RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
www.jamiiforums.com