Wala siyo mhandisi wa ujenzi miye...yaani iko chumba ki1 ndo utumie M7?
ina onesha we n mtaalam masuala ya ujenzi
tuna omba
mchanganuo wa /makadirio ya gharama za
idadi ya tofali zilizo tumika kwa ujenzi wa ako kachumba
idadi ya hizo bati za kisasa
idadi ya madirisha
idadi ya mifuko ya cement iliyo tumika
gharama za ufundi
nk nk nk
Hapana, mimi siyo mkandarasi bali nimejenga na namiliki nyumba kadhaa...Hebu bwana mkandarasi tupe mchanganuo wa gharama (standard) za hicho kibanda, like idadi ya tofali, mifuko ya saruji, mondo, mbao, mchanga, fundi, nk.
Huhitaji kupata BOQ hapo ili kufanya judgement ndugu. 7.3M ni tarakimu tu zinakutisha lakini practically ni hela ndogo sana ktk ujenzi. Ni afadhali sana huyu kazitumia kujenga na jengo linaonekana...!!Msitukane watu bila sababu. Mngeomba kwanza BOQ yake ndipo muanze kulalama. Kyerwa isiyo Dar au Morogoro. Iko mbali sana na viwanda na masoko ya vifaa vya ujenzi nchi hii. Mfuko wa cement pale mnajua bei yake? Aluminium Profiles zilizotumika je? mabati hayo siyo SIMBA DUMU bei yake mnajua? mafundi wangapi na wenye fani zipi wametumika hapo? Maji ya kujengea wanayatoa wapi? Mchanga na Kokoto wamezitoa wapi? Nondo zina bei gani zikifika Kyerwa? Umetumika mfumo gani wa Procurement? Contractor au Force Account ? Kama ni contractor au hata Force Account hiyo gharama wala siyo kubwa kama mnavyodhani. Kujenga ni ghali sana nchi hii ndo maana wapangaji ni wengi
Kujenga ukuta unahitaji mchoro? 94 MHawaelewi watu