Nyie ndio watu mnakatishaga watu tamaa wakitaka kujenga. Tofali hapo hata 300 hazifiki..acheni mentality za upigaji.hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?
watu kwa sensational news jamani
nchi nzima ipo policized
kibanda mil 7 sawa kabisa,kina madirisha ya aluminium na vioo kabisa na mlango wa gharama,hivyo ni mil4 kasoro
bati ya kisasa hapo juu,tofali,cement,ufundi,rangi na ndani paa ni gypsum na rangi zake
Mil 7 ni ndogo