Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,278
2,000
Haya yanayo endelea ni matunda ya wizi wa kura. Hakuna jicho la pembeni. Wameamua kuchukua vyao mapema.. Ccm oyeee... Kambale
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,768
2,000
yaani iko chumba ki1 ndo utumie M7?
ina onesha we n mtaalam masuala ya ujenzi
tuna omba
mchanganuo wa /makadirio ya gharama za
idadi ya tofali zilizo tumika kwa ujenzi wa ako kachumba
idadi ya hizo bati za kisasa
idadi ya madirisha
idadi ya mifuko ya cement iliyo tumika
gharama za ufundi
nk nk nk
Wala siyo mhandisi wa ujenzi miye...

Ila mimi nimejenga na namiliki nyumba zangu...

Kwa taarifa hiyo 7.3M ni gharama ya ujenzi wa shimo la kisasa la choo tu kwenye nyumba ya maana...!

Wewe kama bado mpangaji, huwezi kujua mambo haya. Nilikuwa mbishi kama wewe lakini nilifanya utafiti nikagundua hiyo ni kweli na hakika...
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,768
2,000
Hebu bwana mkandarasi tupe mchanganuo wa gharama (standard) za hicho kibanda, like idadi ya tofali, mifuko ya saruji, mondo, mbao, mchanga, fundi, nk.
Hapana, mimi siyo mkandarasi bali nimejenga na namiliki nyumba kadhaa...

Najua ujenzi wa nyumba ni gharama. Na nilivyoangalia hako kajumba na kiasi kilichotumika yaani 7.3M sikushangaa kwa sababu najua...

Wewe kama bado mpangaji kwenye nyumba za watu, huwezi kuelewa mambo haya...

Na kwa taarifa yako, hiyo 7.3M kwenye ujenzi wa nyumba ya maana ni gharama ya kuchimba choo tu na kujenga na pengine isitoshe...!!!

As for that building, hata kama kuna ulaji kwa msimamizi wa ujenzi huo haizidi 3K na hiyo haiwezi kuwa a big deal...!
 

mbayumbayu

Senior Member
Jan 25, 2012
105
225
Msitukane watu bila sababu. Mngeomba kwanza BOQ yake ndipo muanze kulalama. Kyerwa isiyo Dar au Morogoro. Iko mbali sana na viwanda na masoko ya vifaa vya ujenzi nchi hii. Mfuko wa cement pale mnajua bei yake? Aluminium Profiles zilizotumika je? mabati hayo siyo SIMBA DUMU bei yake mnajua? mafundi wangapi na wenye fani zipi wametumika hapo? Maji ya kujengea wanayatoa wapi? Mchanga na Kokoto wamezitoa wapi? Nondo zina bei gani zikifika Kyerwa? Umetumika mfumo gani wa Procurement? Contractor au Force Account ? Kama ni contractor au hata Force Account hiyo gharama wala siyo kubwa kama mnavyodhani. Kujenga ni ghali sana nchi hii ndo maana wapangaji ni wengi
 

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,278
2,000
Waziri Mkuu atueleze na sisi Wananchi wanyonge Gharama zake za kusafiri kwa safari moja inatumia kiasi gani na sio kuzodoa mtu aliyetumia kujenga kitu kinachoonekana na kwa faidi hadi vitukuu vyake... yeye kuchoma mafuta tu na posho... na semina Dar Spika kamuumbua na kashindwa kijubu... unaweza tia dosari tungeambiwa kibanda m20 au juu zaidi 7? VAT inclusive?
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,768
2,000
Msitukane watu bila sababu. Mngeomba kwanza BOQ yake ndipo muanze kulalama. Kyerwa isiyo Dar au Morogoro. Iko mbali sana na viwanda na masoko ya vifaa vya ujenzi nchi hii. Mfuko wa cement pale mnajua bei yake? Aluminium Profiles zilizotumika je? mabati hayo siyo SIMBA DUMU bei yake mnajua? mafundi wangapi na wenye fani zipi wametumika hapo? Maji ya kujengea wanayatoa wapi? Mchanga na Kokoto wamezitoa wapi? Nondo zina bei gani zikifika Kyerwa? Umetumika mfumo gani wa Procurement? Contractor au Force Account ? Kama ni contractor au hata Force Account hiyo gharama wala siyo kubwa kama mnavyodhani. Kujenga ni ghali sana nchi hii ndo maana wapangaji ni wengi
Huhitaji kupata BOQ hapo ili kufanya judgement ndugu. 7.3M ni tarakimu tu zinakutisha lakini practically ni hela ndogo sana ktk ujenzi. Ni afadhali sana huyu kazitumia kujenga na jengo linaonekana...!!

Sijui watu inakuwaje mnapumbazwa na wanasiasa kwa petty issues kama hii wakati yapo maeneo ambao yana ufisadi wa kutisha na unaoathiri maisha ya watu na uchumi wa nchi lakini wameyanyazia kimya...?

Huyo PM juzi kati hapa alikamata watu wanaohujumu biashara ya mafuta ya petrol kiasi cha kusababisha kupanda ghafla kwa bei ya petrol kwa miezi mitano mfululizo lakini alisema lolote...?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom