KYERWA, KAGERA: Basi la Fikoshi Investment lapata ajali Kondakta afariki papo hapo, majeruhi wakimbizwa Hospitali

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
AJALI: Basi la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho-Bukoba-Mwanza limepata ajali eneo la Nkwenda Wilayani Kyerwa.

Katika ajali hiyo Kondakta wa basi hilo amefariki papo hapo, na majeruhi wengine wamekimbizwa katika Hospitali teule ya Nyakahanga na Kituo cha Afya Nkwenda.

IMG-20180223-WA0064.jpg
IMG-20180223-WA0063.jpg
IMG-20180223-WA0062.jpg
IMG-20180223-WA0061.jpg
IMG-20180223-WA0060.jpg
 
Back
Top Bottom