KYELA: Walimu 16, wanafunzi 700, wanatumia tundu moja la choo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,696
239,262
Ni wa shule ya msingi Mpanda , huku wengine wakijisaidia vichakani baada ya vyoo vya shule hiyo kubomolewa na mafuriko .

Chanzo - nipashe .

Wito kwa wana Kyela wenzangu , tuisaidie shule ya msingi
mpanda , aibu yake ndio aibu yetu .
 
mwenzako diamond ametoa msaada bila kulia lia kama wewe...nyie manyumbu ya Ukawa shida tupu badala ya kutoa msaada unalia lia...we si unakiwanda kasaidie sasa
 
Mjomba , siku zote umoja ni nguvu , halafu huyo diamond unayemtaja hapa Mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi aliwahi kuomba utajiri wake uchunguzwe .
 
Tarehe 7/7/2016 DIAMOND atakuwa na shoo hapo Kyela, hebu jaribuni kujipanga mumfikishie hili jambo anaweza akasaidia kitu hapo.
 
mwenzako diamond ametoa msaada bila kulia lia kama wewe...nyie manyumbu ya Ukawa shida tupu badala ya kutoa msaada unalia lia...we si unakiwanda kasaidie sasa
Kodi serikali ikikusanya inazitumia kununulia ushindi kwenye chaguzi. Huduma za jamii serikali inaomba isaidiwe na wananch hao hao bila masharti.
Hii inawezekana tu Tz.
 
mwenzako diamond ametoa msaada bila kulia lia kama wewe...nyie manyumbu ya Ukawa shida tupu badala ya kutoa msaada unalia lia...we si unakiwanda kasaidie sasa
You see now kuwa Debe TUPU haliachi kutika, an empty mind/vacuum, iatabidi kiukweli mumjeukie Mungu maana hii laana sasa ya kunyimwa akili bora ufe tu.
 
Back
Top Bottom