Kyela kumekucha, CHADEMA yaahidi madawati shule zote

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,644
218,092
Kwa faida ya wasioifahamu kyela ni kwamba karibu shule zote za umma ( za msingi na sekondari) zinakabiliwa na upungufu mkubwa na wa kutisha wa madawati , CHADEMA wameahidi kumaliza kero hii .
 
hayo wameyasema kwenye kampeni zao kata ya ipinda ambapo mgombea udiwani mh Saadat Mwambungu , mgombea ubunge mh Abraham Mwanyamaki na mgombea urais wa UKAWA mh Edward Lowassa walinadiwa .
 
Wasap nyie sisiemu maswala ya shule hamtaki twaweza weshatuambia ...ujinga ndo mtaji wenu nakuelewa ukihisi kupeleka madawati shuleni ni bangi...si unaona bora hizo hela uagize madawa ya kulevya sio...
ubarikiwe sana
 
Sijaelewa ni kwamba watanunua kupitia ruzuku ya chama ama wataomba serikalini?
 
Back
Top Bottom