Kyela: CHADEMA Digital yafanyika chini ya miti baada ya wamiliki wa kumbi za mikutano kutishwa na Mamlaka

Hivi digital unahitaji ukumbi? Chadema watakuwa walikuwa na lao jambo kuita watu ukumbini ambalo sio digital

Digital hata siku moja haihitaji ukumbi wala mti
 
Hapa ndipo Nchi nzuri ya Tanzania ilipofikishwa na Watu waoga walioshindwa hoja .

Taarifa inaonyesha kwamba Wamiliki wote wa kumbi za mikutano Mjini Kyela wamepewa onyo la kutowapa nafasi kwenye kumbi zao Chadema kwa ajili ya shughuli zao , Watakaokiuka onyo hilo watabambikwa kesi za uhujumu uchumi na utakakatishaji fedha .

Hata hivyo Wanachama wa Chadema Kyela imebidi wajichukulie nafasi kwenye Ukumbi wa Mungu mwenyezi , ambapo ni chini ya miti ili waendelee na mipango yao kufanya usajili kwa njia ya kisasa ya Chadema Digital

View attachment 1994673

Mungu ibariki Chadema .
Cdm ni mpango wa mungu
 
tuwe makini sana na hawa wafuasi wa mboe hawa watu wana chembe chembe za kihalifu.
wanapaswa watupiwe macho muda wote hadi wanapo jisaidia.
Mlishindwa propaganda ya ukabila, udini, ukanda cdm ikazidi kuchanua, Sasa mnajaribu ya ugaidi ambayo mmeishafeli tayari
 
tuwe makini sana na hawa wafuasi wa mboe hawa watu wana chembe chembe za kihalifu.
wanapaswa watupiwe macho muda wote hadi wanapo jisaidia.
Niko na wewe leo.Acha unafiki kwani bila kuandika upuuzi huwezi kulipwa?Kuandika kwenyewe hujui
 
Dah, vitendo walivyofanyiwa hiki chama yanapelekea watu wengi sana kukielewa. Binafsi napenda sana mipangiliao yao ya mavazi hasa kombati zile.
 
Inasikitisha sana kuona Taifa letu limejaa hofu, Mwalimu alilaani sana vitendo kama hivi vya kuwafanya wananchi kuishi kwa wasiwasi katika nchi yao huru, sasa ni nini maana ya uhuru huu.
Mwl JK Nyerere hakuwa muoga wa ushindani.

Hawa tulionao kwa sasa ni waoga wa ushindani
 
Hapa ndipo Nchi nzuri ya Tanzania ilipofikishwa na Watu waoga walioshindwa hoja .

Taarifa inaonyesha kwamba Wamiliki wote wa kumbi za mikutano Mjini Kyela wamepewa onyo la kutowapa nafasi kwenye kumbi zao Chadema kwa ajili ya shughuli zao , Watakaokiuka onyo hilo watabambikwa kesi za uhujumu uchumi na utakakatishaji fedha .

Hata hivyo Wanachama wa Chadema Kyela imebidi wajichukulie nafasi kwenye Ukumbi wa Mungu mwenyezi , ambapo ni chini ya miti ili waendelee na mipango yao kufanya usajili kwa njia ya kisasa ya Chadema Digital

View attachment 1994673

Mungu ibariki Chadema .
Tutasajiri hata kwenye Caves ikibidi.

Chadema ina siasa kama imani. Itikadi zake wananchi wamezielewa.
 
Back
Top Bottom