Kyaka, Kagera: Rais awapiga marufuku viongozi wanaowazuia wananchi kulima kandokando ya mito

Heshima kwenu wakuu,

Nmeshangaa kuona rais Magufuli akiwaruhusu watu kulima kwenye vyanzo vya maji na kuwapa hela kwamba ni wazalendo wachapa kazi. Kamuachia maagizo mkuu wa Wilaya wasiwabugudhi.

Hayo yanejiri baada ya hivi karibuni Freeman Mbowe kuharibiwa shamba lake la mbogamboga kwamba alilima sehemuoevu.

Hii inawachanganya Watendaji na Wananchi. Bwana Shamba alishawakataza. Huku Hai mambo ni tofauti.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?

Mwanza watu wamekatazwa kubomoreshwa kisa walimpa kura wakati wale wa Kimara waliompa kura Lowassa wakibomolewa nyumba zao.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?
 
Heshima kwenu wakuu,

Nmeshangaa kuona rais Magufuli akiwaruhusu watu kulima kwenye vyanzo vya maji na kuwapa hela kwamba ni wazalendo wachapa kazi. Kamuachia maagizo mkuu wa Wilaya wasiwabugudhi.

Hayo yanejiri baada ya hivi karibuni Freeman Mbowe kuharibiwa shamba lake la mbogamboga kwamba alilima sehemuoevu.

Hii inawachanganya Watendaji na Wananchi. Bwana Shamba alishawakataza. Huku Hai mambo ni tofauti.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?

Mwanza watu wamekatwa kubomoreshwa kisa walimppa kura wakati wale wa Kimara waliompa kura Lowassa wakibomolewa nyumba zao.

Je ni kweli Wanasiasa wa Upinzani wananyanyaswa au wanaonewa?
Wamekamatwa = wamekatazwa
 
Oyaa mbowe ameshaowa wewe bi mdogo acha kujipendekeza pambana na maisha yako,period.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom