Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,846

Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa makonde ya kutosha mpaka ikabidi refa amalize pambano, Kwa kuhitimisha ni Kwamba Israel hamuwezi Alex!!

Hadi sasa kwenye UFC mbabe aliebaki ni Jon Jones pekee, kuna kipindi wengi tulipenda Israel apande daraja aende kupigana na Jon Jones lakini huko angetia aibu maradufu, kipigo hiki cha leo kimemsaidia aujue uhalisia mapema.

Ushauri wangu jamaa astaafu tu, kwa sasa akiendelea kufosi atajiharibia hasa ukizingatia kwamba uwezo wake wa kuhimili makonde ya mpinzani (endurance) umeshuka.

Drake kapigwa takribani bilioni 4 na nusu, alibeti Izy atashinda
 
Sijui hata Israel alifikiria nini kupigana na Alex aliemzidi urefu, ana mwili mkubwa na ngumi zake ni nzito .... mtoto akililia wembe mpe tu.
Izzy kajichanganya hana historia na mwamba chama lao washapigika wawili bado mmoja saiz

Usman , adesanya bado francis kuporwa belt
 
Sijui hata Israel alifikiria nini kupigana na Alex aliemzidi urefu, ana mwili mkubwa na ngumi zake ni nzito .... mtoto akililia wembe mpe tu.
Mwingine alijichanganya ni volkanovski hawezi toboa kwa islam japo kuwa kijamaa kibishi
Screenshot_20221113-154120.jpg
 
Endurance ya Adesanya imeshuka Na possible reasons.

1. Ameshakua A + fighter

2. Endurance level imepungua (ameshikilia title nyingi na tofauti kwa mida tofauti)

3. Looking down on opponent. Hii inatokana na ukweli kuwa ameshafuta middle heavy weight division nzima hivyo anaamini anaemuweza yoyote kwa maandalizi hafifu Kumbuka ni huyu Adesasanya aliempiga Whitteker, Romero (Soldier of God), Costa, Silva (all time Legend), Gastelum, And the list goes on.

May Take: Adesanya atafute opponent wa kawaida apate pambano la mwisho aombe kustaafu abadili kazi mfano awe boxing promoter, Au investor kwenye young ufc talents. Kwakuwa ameshachoka Endurance Level Yaani hawezi tena kuhimili heavy punches from opponent
 
Doh,roho imeniuma sana nikidhania ni wakati Sasa Ade anaenda kulipa kisasi.lilikuwa ni pambano la ki ubingwa?
 
Nimesikitika sana Izzy kupigwa na alikuwa ameongoza round zote daah
Anyway lazima tumpige yule kenge
 
Endurance ya Adesanya imeshuka Na possible reasons.

1. Ameshakua A + fighter

2. Endurance level imepungua (ameshikilia title nyingi na tofauti kwa mida tofauti)

3. Looking down on opponent. Hii inatokana na ukweli kuwa ameshafuta middle heavy weight division nzima hivyo anaamini anaemuweza yoyote kwa maandalizi hafifu Kumbuka ni huyu Adesasanya aliempiga Whitteker, Romero (Soldier of God), Costa, Silva (all time Legend), Gastelum, And the list goes on.

May Take: Adesanya atafute opponent wa kawaida apate pambano la mwisho aombe kustaafu abadili kazi mfano awe boxing promoter, Au investor kwenye young ufc talents. Kwakuwa ameshachoka Endurance Level Yaani hawezi tena kuhimili heavy punches from opponent
Mi noana Izzy ana overconfidence ana dharau opponent yeyote yule ..ukizingatia jamaa Alishapiga na huyo msela ila maandalizi ni hafifu mno...kingine watu wanaofanya wrestling kweny UFC still ni maumivu kwake mno kushinda dhidi yao .

Nina maana gani? Hapa Kuna islam ndo atakuja pigana nae huko mbele sio kama Kuna ushindi maana Islam ni wrestler kama khabibi tu ...jamaa ana wakati mgumu
 
Hii fight nimeona wengi wakimlaumu refa alimaliza pambano haraka, wanadai jamaa alikuwa na uwezo wa kuchomoka alivyobanwa.

Izzy alishachoka. Poatan angemmaliza. Bora refa alimaliza pambano.

It was a tough fight to bother fighters though. Congratulations to the new champion of the world Paatan Alex Pereira.
 
Alex ana bahati 2nd round alishakaribia kumalizwa. Ashukuru kengele.

Naweza sema luck + determination ya Alex imempa ushindi.

Make no mistake, Adesanya ni warrior haswaa. He is a smart fighter than Alex. Ila ndiyo hivyo hata ume vizuri vipi lazima atatokea mbabe zaidi yako. Ni swali la muda tu.
 
Sometimes bahati inasaidia. Inabidi kabla ya pambano ufanye tambiko kwanza (joking)

Angalia pambano la Usman na Leon.

Usman was kicking Leon’s ass all for rounds before he got knocked out by one left kick. Na mchezo unaishia hapo.

All in all, nimependa Stylebender ameongea vizuri kwenye post fight. He’s a true warrior.
 
Back
Top Bottom