Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

jamani naomba kufahamishwa tatizo la kwikwi kwa mtu mzima linatokana na nini? Nini athari zake? je kuna matibabu ya kwikwi?
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html

Wazaramo wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa kwikwi waulize watakujibu.
Mkuu distazo badala ya kumpa jamaa Dawa ya kwikwi wewe unatutukana Eti Sie Wazaramo tunauwanakwa maradhi ya Kwikwi? ahhhhhhhhh
 
Nasikia kwikwi inaweza kuua kama ikiendelea kwa muda mrefu. Pia nimewahi kusikia mtu mmoja aliyekua anasumbuliwa sana na kwikwi hadi kulazwa pale Muhimbili na afya yake kuanza kutetereka. Dada mmoja aliyeenda kuangalia mgonjwa wake aliulizia mgonjwa wa jirani anasumbuliwa na nini maana waliokuwepo pale kumuangalia walishaanza kuonyesha nyuso za hofu. Baada ya kufahamu yaliyomsibu mgonjwa yule, ndipo yule dada alipowaambia wachemshe chai ya rangi watie hiliki na kumpa mgonjwa anywe, hiyo ndio ilimponya mgonjwa yule.
 
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html

Mkuu distazo badala ya kumpa jamaa Dawa ya kwikwi wewe unatutukana Eti Sie Wazaramo tunauwanakwa maradhi ya Kwikwi? ahhhhhhhhh

Thank U very much ndugu......... Its my hope naweza kujitibia kwa hili....
 
Mpatie basi dawa. Huu ni kama ugonjwa wa Glaucoma kwa wagogo kama late RIP Matonya
 
mkuu Mtali nimeshakupatia tumie uje unipe maendeleo yako mkuu nataka unipe Feedback.

Mpatie basi dawa. Huu ni kama ugonjwa wa Glaucoma kwa wagogo kama late RIP Matonya
mkuu distazo nimesha mpatia dawa au soma tena hapa Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.@Mtali
 
Ila nimepata shida ya kuupata Mua mweusi....... Ni miwa ipi ambayo unamaanisha..... MziziMkavu
mkuu Mtali Muwa Mweui nliokusudia ni huu mkuu ni dawa ya huo ugonjwa wa kwikwi kuna mtu mmoja nilimpa humu jamvini dawa hiyo alipona hebu angalia muwa wenyewe jinsi ulivyo tumia kisha uje unipe feedback.
32539403.jpg
 
Thank U very much ndugu...... Maana hapa nilikuwa nahangaika na muwa mweusi..... Now I understand..... Unajua wanaume wengi tunashida ya kuzifahamu rangi..... Thank U in advance...... MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Jamani naombeni msaada kujua dawa ya kwikwi! Nina ndg yangu anasumbuliwa sana na kwikwi, tatizo hili huwa linajirudia Mara kwa Mara na kwikwi zikianza linasababisha hadi kubana kifua na anapoteza fahamu na kubaki kukoroma tu! Tell me iwe dawa za kienyeji ama za hopitalini! Doctors na watu wengine through xperience, ur welcome!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Doctors wanaweza kuwa na a better solution but in the meantime;
Mwambie ajaribu kuongeza kiwango cha maji anachokunywa kwa siku,
Pia mazoezi huwa yanasaidia, hata akiwa anafanya sit-ups first thing kila akiamka asubuhi itasaidia.
 
Thanx Smiles kwa msaada, I will work on it!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata mimi hili tatizo nilikuwa nalo kuna dawa ambayo nilitumia mwaka 2010. tatizo lilitulia likanianza tena wiki iliyopita. Kuna ndugu yangu humu JF alinishauri nitumie juisi ya miwa mwekundu iliyochanganywa na asali safi. Hebu jaribu hiyo.
Ila kwa niliyotumia mwaka 2010 ilikuwa vidonge vinaitwa DIACEPSINE. Ila kwa ushauri wa daktari nilimeza kimoja tu. hebu cheki namna ya kuresque hiyo hali.
 
kuna dawa moja ya asili
daym, nilijidai bishoo sikuifuatilia

dah, sijui bado yule mzee yupo nikamuulize, yaani inatibu mara moja.
 
Mkuu.@muuza ubuyu pole sana kwa huyo ndugu yako kuumwa na hiyo Kwikwi mimi nitakupa Dawa yangu ya Tiba Mbadala ikimsaidia ndugu yako usikose kuja hapa na kutoa shukran zako usipotee na njia tu tafadhali.

Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.

32539403.jpg

Muwa Mweusi.

Chanzo:
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html
 
Hata mimi hili tatizo nilikuwa nalo kuna dawa ambayo nilitumia mwaka 2010. tatizo lilitulia likanianza tena wiki iliyopita. Kuna ndugu yangu humu JF alinishauri nitumie juisi ya miwa mwekundu iliyochanganywa na asali safi. Hebu jaribu hiyo.
Ila kwa niliyotumia mwaka 2010 ilikuwa vidonge vinaitwa DIACEPSINE. Ila kwa ushauri wa daktari nilimeza kimoja tu. hebu cheki namna ya kuresque hiyo hali.
Mkuu Mtali wewe uliweka Thread kama hii ya Kwikwi kuuliza matibabu yake na mimi nilikupa sasa leo hii unatoa dawa yake? Ahhh hebu soma hapa ninakukumbu shabonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@muuza ubuyu pole sana kwa huyo ndugu yako kuumwa na hiyo Kwikwi mimi nitakupa Dawa yangu ya Tiba Mbadala ikimsaidia ndugu yako usikose kuja hapa na kutoa shukran zako usipotee na njia tu tafadhali.

Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyukiunywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.

32539403.jpg

Muwa Mweusi.

Chanzo:
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...eli-au-hakuna-dawa-nisaidieni-jibu-wadau.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html

Asante sana kaka mgonjwa yupo hospitali kwa sasa ngoja nije niwapigie kuwaambia aina hii ya dawa! Nitakupa feedback! Vipi kweli dozi yake sasa inaendaje?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asante sana kaka mgonjwa yupo hospitali kwa sasa ngoja nije niwapigie kuwaambia aina hii ya dawa! Nitakupa feedback! Vipi kweli dozi yake sasa inaendaje?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu.@muuza ubuyu Dozi yake ukamuwe muwa kiasi cha kupata japo kikombe cha kahawa uchanganye na Asali safi mbichi ya Nyuki kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali awe anakunywa kutwa mara 3 kwa siku mpaka atakapo pona ache kutumia tena.
 
Asante sana mkuu MziziMkavu! Nitalifanyia kazi hili! Mungu akulinda!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtali wewe uliweka Thread kama hii ya Kwikwi kuuliza matibabu yake na mimi nilikupa sasa leo hii unatoa dawa yake? Ahhh hebu soma hapa ninakukumbu shabonyeza hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/334455-tatizo-la-kwikwi-kwa-mtu-mzima.html
I appreciate Ur concern@Mzizimkavu. Kwa wakati huo nilishindwa kabisa kutengeneza hiyo dawa kuokana na Mazingira ninayoishi.......kwa sasa ila kwikwi ilitulia yenyewe..... but It is still in my memory. Dhamira yako ni nzuri.....
 
Back
Top Bottom