kachu snipper
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 7
Lkn ndafanya nn wakat ndonyumban?
Wewe ndo yupi hapo miss chagga?
hat sipo me big mama kula kisusio sana ... hawa wamekondeana ndoo nikawaonyesha
Hahahahaaaaa,nilikufananisha unajua!Bado uko Moshi?Ukirudi njoo na kitu Mbege toka Moshi hata lita mbili naomba tafadhari
nimesharudi aisee chalii
Duhhhh,mbona umewahi kurudi?Kisusio umepata kweli?Niagizie basi kwa ambao hawajarudi!
lita mbili chenye msesewe laki moja pamoja na VAT
VAT?Kwani huko machine za TRA zimeishafika?Au umeweka cha juu?Duhh kweli wewe mchagga,ngoja niagize zangu pale Tandale!