Wenzetu baada ya kuweka jitihada za dhati kuzuia ugonjwa wa Corona kusambaa, sasa wao wanapanga kurejea maisha ya kawaida. Wanazo takwimu zote muhimu. Sasa wanajua mashule lini yafunguliwe na lini warejee vipi kwenye maisha ya kawaida:
Kwetu tuko hapa:
Hatuna takwimu za watu tunaofuatilia wala waliomo quarantine.
Tupo tunasubiria kudra za mwenyezi Mungu na sasa wataalamu wa kufukiza nyungu nao ndiyo wamesha shika usukani kutuhubiria imani zao.