Kwenye wakati mbaya na mazingira magumu ndipo huwa Idea zinajitokeza na uvumbuzi na ubunifu huanzia

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Kuna watu wanaamini kwamba Hali za kimaisja zikiwa nzuri basi ndipo hata biashara zitafanyika.

Ukweli ni kwamba kwenye wakati mgumu sana ndo hapo huwa kuna Inovatios,

Kwenye kipindi kigumu sana ndipo hapo Entrepreners huzaliwa.

MFANO

Ukiangalia Inovation nyingi sana za Wazungu zilitake place kipindi wazungu wakiwa na maisha magumu au hali ngumu sana za kiuchumi.

Wakina Thomas Edson wakati wanavumbua Balubu ni kwamba hali ilikuwa ni ngumu sana.

Vumbuzi karibia zote zilitokea wakati huo na kwa sasa ni copy and pest inafanyika.

MAISHA MAGUMU HUCHOCHEA UDADISI ZAIDI.

Ukiangalia kwa sasa Tanzania kuna ukosefu wa ajira watu wamesika hasi vyuo ila kazi hawana.

Baadhi ya hawa watu kutokana na hali kuwa ngumu huamua kujifikirisha sana na kuja na kitu cha kufanya.

Leo hii mijini ukipita unakutana na idea za kila aina huyu anauza hiki, yule anatembeza chai, yule anapitisha misosi kwenye maduka na kadhalika.

MWISHO

Nyakati kama hizi Tanzania ndo udadisi utakuwa juu sana Watanzania wakijaribu ku master mazingira ya wakati huu

Nyakati kama hizi tarajia Idea za kila aina.

Nyakati kama hizi tarajia Adjustment za kufikiri kwa watu.
 
I entirely agree with you mkuu.

Tuwe na discipline kwa vipato vyetu kwa kujiwekea akiba ili tuweze kuwekeza tutatoboa tu.
 
Ukiona giza totoro kupambazuka kunakaribia,

Haya yote huwa ni mapito ya kukupeleka sehemu fulani nzuri,

Kifupi ili utoke lazima upambane sana lazima uteseke sana

Mara nyingine Damu na machozi yanahusika ili ku-win(simaanisha tuuane)

Lazima tupitie kipindi cha kuteseka sana kifikra sometimes mpaka wengine wasituelewe

Lazima tutoke katika confort zone zetu ili tutoboe

Lazima tuzi-face changamoto kwa kujiamini sana ili tuuone mwanga wa kesho

Tutatoboa tu hata kama sio leo
 
Yes huwezi shinda katika mazingira rahisi bali mazingira magumu sana.
 
Ukiona giza totoro kupambazuka kunakaribia,

Haya yote huwa ni mapito ya kukupeleka sehemu fulani nzuri,

Kifupi ili utoke lazima upambane sana lazima uteseke sana

Mara nyingine Damu na machozi yanahusika ili ku-win(simaanisha tuuane)

Lazima tupitie kipindi cha kuteseka sana kifikra sometimes mpaka wengine wasituelewe

Lazima tutoke katika confort zone zetu ili tutoboe

Lazima tuzi-face changamoto kwa kujiamini sana ili tuuone mwanga wa kesho

Tutatoboa tu hata kama sio leo
Asante sana
 
Back
Top Bottom