Kwenye utambulisho wa Viongozi katika uapisho wa Rais Museveni, Wakuu wa Nchi Wanawake wametambulishwa wa mwisho kabisa

Hiyo hoja ya kuwa madarakani kwa muda mrefu sio kweli, kwa sababu

Kwenye orodho hiyo Rais( mkuu wa nchi) wa kwanza kutambulishwa alikuwa ni Rais Felix Tshisekedi wa Democratic Republic of Congo ambaye ameingia baada ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na baada ya Rais Saliva Kiir wa South Sudan

Pia Rais Samia Suluhu Hassan alimtangulia Rais Sahle Work Zewde wa Ethiopia kwenye orodha hiyo, ambaye ametangulia kuingia madarakani kabla ya mama Samia Suluhu Hassan

Kwa hiyo hoja ya kukaa muda mrefu ni invalid
Mkuu, nimeeleza kwamba sizungumzii inauguration ya Museveni specifically ila naeleza moja ya kanuni inayotumiwa katika itifaki za diplomasia ya kimataifa.

Na nimeeleza kwamba Africa tuna kanuni kuu ya kutofuata kanuni nyingine.

Hapa kwa kufuata itifaki ya diplomasia ya kimataifa kanuni ya seniority ilitakiwa kutumika.
 
Mimi huwa napenda hotuba za wenzetu juu hakuna kutajana majina utasema mko shuleni akipanda jukwaani tu anaenda kwenye agenda.
 
... alphabetic order ya jina la mkuu wa nchi sio ya jina la nchi.

Hata hii hoja yako ya alphabetic order ya majina ya wakuu wa nchi SIO KWELI

Kwa sababu kama ingekuwa ndivyo hivyo, angeanza kutambulishwa Rais Alpha Conde wa Guinea Conakry ambaye pia yuko kwenye sherehe hizo
 
Hata hii hoja yako ya alphabetic order ya majina ya wakuu wa nchi SIO KWELI

Kwa sababu kama ingekuwa ndivyo hivyo, angeanza kutambulishwa Rais Alpha Conde wa Guinea Conakry ambaye pia yuko kwenye sherehe hizo
... tupe list ya utambulisho ili tuweze kujadili objectively zaidi.
 
alianza mheshimiwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan kisha wa mwisho kabisa akawa Rais Sahle Work Zewde wa Ethiopia.
Kwani Museveni mwenyewe anasema nini sababu ya kufanya hivyo, unaweza kuumiza kichwa chako bure kumbe sababu ni alphabetical order ya majina yao
 
Hapana , kwenye hili kabla ya kuwatambulisha alisema hakuna senior kuzidi wenzake ispokuwa atawatambulisha kwa jinsi walivyowasili(kwa kuwasili kwao kwenye ardhi ya Uganda )

Hii hoja kuwa wametambulishwa kwa kufuata nani alitangulia kuwasili nchini Uganda nayo SIO KWELI

Kwa sababu mkuu wa nchi wa kwanza kuanza kuwasili nchini Uganda alikuwa ni Rais Mohammed Abdulahi Mohammed wa Somalia na kufuatiwa na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ambao wao waliwasili tangu jana mchana nchini Uganda
 
And it's a big deal because?

Ndo maana wanasemaga last but not least Ili wenye gubu wafyatu mapema.

Kwa sababu hata kwetu wapo.
Kabisa. Kuna wengine hata kwenye utambulisho harusini huwa wananuna kwanini flani katajwa kwanza na sio mimi/flani. Sio vizuri sana kuliangalia kila jambo kwa kutumia lense ya gender/kabila/umri/race. Tunajuaje, labda list ilipangwa based on "first confirming attendance, first to be acknowledged"

Ukianza kuwa unakiangalia kiiiiila kitu kinachotokea/kufanyika kwenye mazingira yako in three dimension, hukawii kufa mapema kwa BP
 
Hii hoja kuwa wametambulishwa kwa kufuata nani alitangulia kuwasili nchini Uganda nayo SIO KWELI

Kwa sababu mkuu wa nchi wa kwanza kuanza kuwasili nchini Uganda alikuwa ni Rais Mohammed Abdulahi Mohammed wa Somalia na kufuatiwa na Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ambao wao waliwasili tangu jana mchana nchini Uganda
Acha ubishi wewe....sijui una shida gani! Lakini Museveni alitanabaisha kabisa anavyoanza kusoma. Kwamba sio kwa Seniority wala nini, inaweza kuwa arrival au vyovyote lkn tu ni kulingana na walivyoandikwa...AliDecleare hivyo, Sasa wewe sijui unataka kumaanisha nini!?
 
Back
Top Bottom