Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
Mkuu, nimeeleza kwamba sizungumzii inauguration ya Museveni specifically ila naeleza moja ya kanuni inayotumiwa katika itifaki za diplomasia ya kimataifa.Hiyo hoja ya kuwa madarakani kwa muda mrefu sio kweli, kwa sababu
Kwenye orodho hiyo Rais( mkuu wa nchi) wa kwanza kutambulishwa alikuwa ni Rais Felix Tshisekedi wa Democratic Republic of Congo ambaye ameingia baada ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na baada ya Rais Saliva Kiir wa South Sudan
Pia Rais Samia Suluhu Hassan alimtangulia Rais Sahle Work Zewde wa Ethiopia kwenye orodha hiyo, ambaye ametangulia kuingia madarakani kabla ya mama Samia Suluhu Hassan
Kwa hiyo hoja ya kukaa muda mrefu ni invalid
Na nimeeleza kwamba Africa tuna kanuni kuu ya kutofuata kanuni nyingine.
Hapa kwa kufuata itifaki ya diplomasia ya kimataifa kanuni ya seniority ilitakiwa kutumika.