Kwenye uchambuzi wa michezo anga za kimataifa nani mkali zaidi?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Kwenye uchambuzi anga za kimataifa na kitaifa nani huwa anachambua kwa ustadi zaidi kati ya Shaffi Dauda, Maestro, Edo Mwembe, Oscar Oscar, Dk Lick, Kitenge?
 
Shafii dauda kuna.1 nliona aliichambua Leicester city kabla league haijaanza na akaitaja ni title contender..ndicho kilchotokea,cjawah ipa nafasi Leicester ata cku.1
 
Shafii hayuko technical ila ana stori nyingi tuu, ambazo hata mi nikitulia kuzi google nazipata

Ally Mayai ana jua soka ya bongo ( huyu ndo ama chambua techincally, mambo ya ndani ya uwanja)

Oscar oscar ana jua kwa kweli, naye technical za ki ulaya ulaya an weza mi namkubali zaid

All in all 93.7 dsm kimichezo wako excellent
 
Shafii dauda kuna.1 nliona aliichambua Leicester city kabla league haijaanza na akaitaja ni title contender..ndicho kilchotokea,cjawah ipa nafasi Leicester ata cku.1
hawana lolote,wanakopi na kupaste uchambuz wa watu mbele
 
Nani kati yao huwa anaongelea formation za timu? Anayejua formation za makocha mbalimbali na jinsi wanavyopanga wachezaji
 
Back
Top Bottom