Kwenye uchaguzi mkuu Mwaka 2005 mbowe alipewa fedha na ccm kufanyia kampeni

Status
Not open for further replies.

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,957
1,327
MBOWE CCM HAINUNUI WATU
HUWA INASAIDIA KILA MTU




USHUHUDA.
wakati wa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 ndugu mbowe alikuwa anagombea URAIS kwa tiketi ya CHADEMA, akipambana na KIKWETE, LIPUMBA na wengineo.


mwanamkakati mkuu wa KAMPENI ZA KIKWETE alikuwa ni ROSTAM AZIZ - aliyekuwa mbunge wa IGUNGA.


mwezi OKTOBA mwaka 2005 FREEMAN MBOWE, kupitia kwa mke wake LILIAN MTEI MBOWE alipokea jumla ya shilingi million 100. ili zimsaidie kwenye kampeni kipindi hicho LIPUMBA NA CUF ndio walikuwa na nguvu kubwa sana ya kisiasa ya upinzani, SWALI JE.


(i) Je hizi milioni 100 za ROSTAM AZIZ KWA mbowe HAZIKUWA hongo kuiwezesha CHADEMA kuidhoofisha CUF na LIPUMBA?.


(ii) Je ROSTAM AZIZ sio mwanaCCM kiasi cha kufanya pesa zake zisiwe HONGO?.


(iii) JE MBOWE NA ROSTAM AZIZ wana urafiki ama ubia wa namna gani kiasi cha kufanya mwanamkakati wa kampeni za mgombea Urais wa CCM Jakaya Kikwete Kutoa milioni 100 kwa mgombea wa CHADEMA.


(iv) JE ni kweli MBOWE haongeki kama alivyodai ama ni danganya toto tu?.


kwa kuwa ninafahamu vitu na mambo mengi ndani ya hiki chama, nitaendelea kuweka kumbukumbu sawa kila patakapokuwa pana uhitaji wa kufanya hivyo bila woga wala kificho chochote.
 
Ndoto za jana usiku zilikuwa zime-reflect 2005 eeh? 8 years ago!! Katafute mtu atakayekutafsiria ndoto yako!
 
Kwahiyo alinunuliwa kwa mil 100 halafu akauzwa tena au? Na kama alipewa hela ili zisaidie kwenye kampeni ambayo ni dhidi ya ccm sasa amenunuliwa vp? Nikajua hata kapewa land cruiser au nyumba mbezi.
 
Mbona mbowe anahistoria ya kumwaga damu hivi?anasingiziwa?chacha wangwe...yeye,ZZK nasikia kamkosa kosa kumuwekea sumu kuna nini?

Sema yote pamoja na yasemwayo juu yako, watege masikio kwa umbeya tu.Tumia akili yako achana na kuipiga chabo.
 
Mkuu kumbuka hatutumii jf peke yake. Source of info ni nyingi so plz, usihusishe id yanguvna mchange. Ntakutaka uthibitishe vinginevyo niwaambie mods wakushughulikie

Sema tu mmegundulika ni mradi wenu nyote.. Hahahahahaaaa...!!!
 
Thibitisha
cc.
mods wote. Hii ni tabia mbaya ya name calling
Sasa unamtaka athibitishe, wakati huo huo unalialia kwa moods, si umuache athibitishe kwanza? Ila wewe mwenyewe umethibitisha kwa kusema tu kuwa hii ni name calling .....it means you have accepted a defeat!
 
Hivi wale waliosema wataandamana nchi nzima maandamano yao yameishia Kibaha mjini au bado yako ubungo mataa.
 
Sasa unamtaka athibitishe, wakati huo huo unalialia kwa moods, si umuache athibitishe kwanza? Ila wewe mwenyewe umethibitisha kwa kusema tu kuwa hii ni name calling .....it means you have accepted a defeat!
Lazima nimshtaki kwa moderators kwa name calling. Ujinga wenubmkishindwa hoja mnaanza kuita watu majina ya wajomba zenu jukwaani lazima ikome
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom