The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Nimesoma ukurasa wa Malisa huko Instagram akijaribu kumtetea mwalimu mmoja mwenye elimu ya juu kabisa kiwango cha Masters, lakini mwalimu huyo bado analipwa mshahara wa elimu ya Certifacte hadi leo na bado anafundisha darasa la tatu.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba siyo mwalimu huyo tu. Kwenye sekta ya elimu watu wa aina yake wako wengi sana. Sekta ya elimu ndio sekta inayongoza kuwa na watumishi wenye kiwango kikubwa cha elimu. Jambo la kushangaza ni kwamba vigezo vya promotion havieleweki ,unaweza kukuta Afsa elimu wa wilaya ana Diploma halafu mwalimu anayefundisha darasa la pili ana masters degree.
Qualifications za leadership position hazieleweki. Naishauri serikali ya mama ianze sasa kuliweka sawa swala hili.