Kwenye Royal tour tumepata hasara! Rais Samia hakupaswa kuwa peke yake filamu ilipaswa aongezewe mtu mwenye ushawishi! Washauri mmemdanganya Rais

Acha kukariri sio sheria lazima Rais awe peke yake bhana...mtu anaweza kuja na ideala
Unapingana na facts kutoka kwenye chanzo sahihi. Haya nipe mfano wa Royal Tour iliyofanyika bila kuongozwa na Head of States nikupe points 3 za mezani.
 
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi kuwavutia wengi hasa duniani kuitazama!

Washauri wa Rais walipaswa kujua kuwa ili watu watazame filamu fulani lazima kuwe na sababu nyingi ikiwemo umaarufu wa mtu aliyeshiriki kwenye filamu hiyo! Walitakiwa kujua kama wanataka Samia aonekane kwenye Tv basi wangemuacha aonekane lakini watafute mtu mwingine mwenye ushawishi duniani kote na kwa watu wengi ili filamu iwe na mvuto si kwa wamakonde tuu bali dunia nzima!

Mfano kama Samia angekuwa na Ronaldo kwenye filamu unafikiri kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa na Mess kwenye Filamu kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa Kanye west kwenye Filamu kingetokea nini?

Hii ni moja ya mifano ambayo nimejaribu kuifikiri kwa haraka ambayo naona ingelipa zaidi kuliko Rais samia kushiriki peke yake kwenye filamu hii kitu ambacho hakitakuwa na effect yeyote kwa nchi zaidi tutajikuta tunalishwa propaganda kuwa watalii fulani wmeletwa na Royal tour kumbe siyo!

Kwenye ulimwengu wa watu mashuhuri na wenye ushawishi duniani lazima tukubali ukweli mchungu kuwa Rais Samia sio mmoja wao hivyo hakufaa kuwepo au kushiriki pekee kwenye hiyo fialmu kama tunataka matokeo kweli na sio siasa!

Kama swala ni hela ukweli ni kwamba nchi hii haiwezi kushindwa kutumia hata zaidi ya billion hata 30 kuwekeza kwenye utalii na matangazo kwani tumekuwa na matumizi mabovu zaidi ya mabillion na mabillion!

Hivyo ni ukweli usio pingika katika hili la kuitumia filamu kutangaza vivutio tumepata hasara kwa kuwa tumeshindwa kujua tumtumie nani kuwafikia wakina nani!

Sio siri, kuanzia sasa watalii wote watakaoingia nchini, chawa watakuambia, ni matunda ya hii project!
 
Royal Tour ndio hio ni kwamba Rais ndio guide...

Ndio maana nikasema tangia mwanzo hii ni more or less promo / campaign kwa mtawala husika hayo mengine ni mengineyo...
 
Kuna mambo mingi ndani ya HiiFilamu bado hayajawekwa hadharani,
Mimi naamini Anod Tswaz Negel yumo ndalni ya Filam Hii.
Naamini Denzel Washington yumo,
Naamini Cris cutter,,Rambo na Will Smith wanaweza kuwemo.
Si kama Munavyofikiria kuwa waliopanga filamuhii ni wajuzi na wamefikiria vitu vingi zaidi ya munavyodhani.
Tulizeni kandanda muone kwanza.
cheni kubashiri.
Huenda ikawa ni jambo zuri.
 
Hakuna anayemchukia. Mama yeye anajidhalilisha kwa kumkejeli Dkt Magufuli
Anasemwa vibaya Rais Nyerere mwanzilishi wa Taifa hili sembuse Dr Magufuli rais wa tano!!. Kuna kumsema mtu vibaya na kukosoa alichokifanya.

Wamarekani wanawakosoa kina Abraham Lincoln na George Washington sembuse Donald Trump!!.
 
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi kuwavutia wengi hasa duniani kuitazama!

Washauri wa Rais walipaswa kujua kuwa ili watu watazame filamu fulani lazima kuwe na sababu nyingi ikiwemo umaarufu wa mtu aliyeshiriki kwenye filamu hiyo! Walitakiwa kujua kama wanataka Samia aonekane kwenye Tv basi wangemuacha aonekane lakini watafute mtu mwingine mwenye ushawishi duniani kote na kwa watu wengi ili filamu iwe na mvuto si kwa wamakonde tuu bali dunia nzima!

Mfano kama Samia angekuwa na Ronaldo kwenye filamu unafikiri kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa na Mess kwenye Filamu kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa Kanye west kwenye Filamu kingetokea nini?

Hii ni moja ya mifano ambayo nimejaribu kuifikiri kwa haraka ambayo naona ingelipa zaidi kuliko Rais samia kushiriki peke yake kwenye filamu hii kitu ambacho hakitakuwa na effect yeyote kwa nchi zaidi tutajikuta tunalishwa propaganda kuwa watalii fulani wmeletwa na Royal tour kumbe siyo!

Kwenye ulimwengu wa watu mashuhuri na wenye ushawishi duniani lazima tukubali ukweli mchungu kuwa Rais Samia sio mmoja wao hivyo hakufaa kuwepo au kushiriki pekee kwenye hiyo fialmu kama tunataka matokeo kweli na sio siasa!

Kama swala ni hela ukweli ni kwamba nchi hii haiwezi kushindwa kutumia hata zaidi ya billion hata 30 kuwekeza kwenye utalii na matangazo kwani tumekuwa na matumizi mabovu zaidi ya mabillion na mabillion!

Hivyo ni ukweli usio pingika katika hili la kuitumia filamu kutangaza vivutio tumepata hasara kwa kuwa tumeshindwa kujua tumtumie nani kuwafikia wakina nani!
Akili kubwa hii hapa.

Asante nazani siku nyingine watakuelewa.
 
Kuna mambo mingi ndani ya HiiFilamu bado hayajawekwa hadharani,
Mimi naamini Anod Tswaz Negel yumo ndalni ya Filam Hii.
Naamini Denzel Washington yumo,
Naamini Cris cutter,,Rambo na Will Smith wanaweza kuwemo.
Si kama Munavyofikiria kuwa waliopanga filamuhii ni wajuzi na wamefikiria vitu vingi zaidi ya munavyodhani.
Tulizeni kandanda muone kwanza.
cheni kubashiri.
Huenda ikawa ni jambo zuri.
Wewe unaota amuka utajisaidia kitandani.

Uzinduzi unafanywa kwa namna ya pekee, wangekuwemo ungewaona.
 
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi kuwavutia wengi hasa duniani kuitazama!

Washauri wa Rais walipaswa kujua kuwa ili watu watazame filamu fulani lazima kuwe na sababu nyingi ikiwemo umaarufu wa mtu aliyeshiriki kwenye filamu hiyo! Walitakiwa kujua kama wanataka Samia aonekane kwenye Tv basi wangemuacha aonekane lakini watafute mtu mwingine mwenye ushawishi duniani kote na kwa watu wengi ili filamu iwe na mvuto si kwa wamakonde tuu bali dunia nzima!

Mfano kama Samia angekuwa na Ronaldo kwenye filamu unafikiri kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa na Mess kwenye Filamu kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa Kanye west kwenye Filamu kingetokea nini?

Hii ni moja ya mifano ambayo nimejaribu kuifikiri kwa haraka ambayo naona ingelipa zaidi kuliko Rais samia kushiriki peke yake kwenye filamu hii kitu ambacho hakitakuwa na effect yeyote kwa nchi zaidi tutajikuta tunalishwa propaganda kuwa watalii fulani wmeletwa na Royal tour kumbe siyo!

Kwenye ulimwengu wa watu mashuhuri na wenye ushawishi duniani lazima tukubali ukweli mchungu kuwa Rais Samia sio mmoja wao hivyo hakufaa kuwepo au kushiriki pekee kwenye hiyo fialmu kama tunataka matokeo kweli na sio siasa!

Kama swala ni hela ukweli ni kwamba nchi hii haiwezi kushindwa kutumia hata zaidi ya billion hata 30 kuwekeza kwenye utalii na matangazo kwani tumekuwa na matumizi mabovu zaidi ya mabillion na mabillion!

Hivyo ni ukweli usio pingika katika hili la kuitumia filamu kutangaza vivutio tumepata hasara kwa kuwa tumeshindwa kujua tumtumie nani kuwafikia wakina nani!
Royal Tour inazinduliwa Marekani badala ya Tanzania, yaani nijenge nyumba Moshi nikazindulie Dar? hovyo kabisa
 
Hasara inatokana na nini, neno HASARA??
 
Hasara imetokana na nini...dhana ya yeye kuwa pekeyake bila kutumia mtu mwenye ushawishi pekee ndo uhalali wa kupata hasara? ....contexts ni kutangaza vivutio vya asili huyo mwenye ushawishi dhumunilake ninini? ....jibu hoja kwa hoja
 
Mkuu hao watu maarufu duniani ni very very expensive,,, na pia dili zinazoenda mezani kwao kwa siku ni nyingi mno na ni za hela ndefu na still wanachomoa...

Hao wangehusika na hio movie wangekula pesa za watanzania hadi siku wanaingia kaburini... Na bado ungekuja kulalamika..

InFact wazo lako ni zuri sana...But kwasasa na hali yetu.........
 
Hao unaowataja,lazima wangetaka kulipwa na kutaka mikataba minono,wangesema kila pesa ya utalii,itakayoingia wanataka 10%,pia ungekuja kulalamika,kama pesa inatumika ovyo.

Hakuna mtu maarufu,atakayeshirika Tangazo la biashara,asilipwe,lazima atataka alipwe,tena pesa nyingi tu.
Wala hata haiko hivyo.

Mbona Rwanda wamewapa Arsenal kazi ya matangazo na hawakupata hasara kiasi hicho zaidi ya Rwanda kuendelea kufanikiwa kuliko sisi.

Kama ni mpenzi wa mpira itakua umekutana na jezi nyingi za Arsenal zimeandikwa visit Rwanda.

Tangazo lile limedumu mpaka sasa ila hii filamu yetu ukiangalia mara moja tu unaachana nayo.

Rais anapotoshwa mambo mengi sana.
 
Back
Top Bottom