Kwenye Royal tour tumepata hasara! Rais Samia hakupaswa kuwa peke yake filamu ilipaswa aongezewe mtu mwenye ushawishi! Washauri mmemdanganya Rais

KWANZA UMEKULA HASARA NA NANI WAKATI HUJATOA HELA YAKO HAPO WALIOTOA WAPO KIMYA WEWE KIDOMODOMO KINAKUWASHA TU

Ujinga wa namna unachosha kuchekesha, unasemaje raia hajatoa hela wakati zimechotwa za umma.!
 
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi kuwavutia wengi hasa duniani kuitazama!

Washauri wa Rais walipaswa kujua kuwa ili watu watazame filamu fulani lazima kuwe na sababu nyingi ikiwemo umaarufu wa mtu aliyeshiriki kwenye filamu hiyo! Walitakiwa kujua kama wanataka Samia aonekane kwenye Tv basi wangemuacha aonekane lakini watafute mtu mwingine mwenye ushawishi duniani kote na kwa watu wengi ili filamu iwe na mvuto si kwa wamakonde tuu bali dunia nzima!

Mfano kama Samia angekuwa na Ronaldo kwenye filamu unafikiri kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa na Mess kwenye Filamu kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa Kanye west kwenye Filamu kingetokea nini?

Hii ni moja ya mifano ambayo nimejaribu kuifikiri kwa haraka ambayo naona ingelipa zaidi kuliko Rais samia kushiriki peke yake kwenye filamu hii kitu ambacho hakitakuwa na effect yeyote kwa nchi zaidi tutajikuta tunalishwa propaganda kuwa watalii fulani wmeletwa na Royal tour kumbe siyo!

Kwenye ulimwengu wa watu mashuhuri na wenye ushawishi duniani lazima tukubali ukweli mchungu kuwa Rais Samia sio mmoja wao hivyo hakufaa kuwepo au kushiriki pekee kwenye hiyo fialmu kama tunataka matokeo kweli na sio siasa!

Kama swala ni hela ukweli ni kwamba nchi hii haiwezi kushindwa kutumia hata zaidi ya billion hata 30 kuwekeza kwenye utalii na matangazo kwani tumekuwa na matumizi mabovu zaidi ya mabillion na mabillion!

Hivyo ni ukweli usio pingika katika hili la kuitumia filamu kutangaza vivutio tumepata hasara kwa kuwa tumeshindwa kujua tumtumie nani kuwafikia wakina nani!

eaa2c74c6643af4be501005467b1c964.png
 
Kila mara namuona akiwa na mzungu wa kiume maporini, hakuna mwanamke mwingine anayeonekana
 
Samia ndiyo nani kwani ??!

Huku ndichi ya fasi ya dwasi huyu mtu na mjua mm mwenye smartphone tu....

AMBAO hawana smartphone hataaa hawamjui kbs aniii daaaah....

So nawaza vipi huko nje za nje wanamjua kweli??!

Au basi......
 
Hao unaowataja,lazima wangetaka kulipwa na kutaka mikataba minono,wangesema kila pesa ya utalii,itakayoingia wanataka 10%,pia ungekuja kulalamika,kama pesa inatumika ovyo.

Hakuna mtu maarufu,atakayeshirika Tangazo la biashara,asilipwe,lazima atataka alipwe,tena pesa nyingi tu.
So ndiyo maana ya kufanya upembuzi kabla ya kutenda!! Mambo ni kuyapanga tu na yanawezekana
 
Ukweli ni kwamba kwenye sekta ya utalii lazima tukubali kuwa Rais Samia awezi kuwa na ushawishi wa kuwavuta watalii au kuvuta watu kuangalia filamu ya royal tour maana hakuna kitu ambacho anawezi kuwavutia wengi hasa duniani kuitazama!

Washauri wa Rais walipaswa kujua kuwa ili watu watazame filamu fulani lazima kuwe na sababu nyingi ikiwemo umaarufu wa mtu aliyeshiriki kwenye filamu hiyo! Walitakiwa kujua kama wanataka Samia aonekane kwenye Tv basi wangemuacha aonekane lakini watafute mtu mwingine mwenye ushawishi duniani kote na kwa watu wengi ili filamu iwe na mvuto si kwa wamakonde tuu bali dunia nzima!

Mfano kama Samia angekuwa na Ronaldo kwenye filamu unafikiri kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa na Mess kwenye Filamu kingetokea nini?

Kama Samia angekuwa Kanye west kwenye Filamu kingetokea nini?

Hii ni moja ya mifano ambayo nimejaribu kuifikiri kwa haraka ambayo naona ingelipa zaidi kuliko Rais samia kushiriki peke yake kwenye filamu hii kitu ambacho hakitakuwa na effect yeyote kwa nchi zaidi tutajikuta tunalishwa propaganda kuwa watalii fulani wmeletwa na Royal tour kumbe siyo!

Kwenye ulimwengu wa watu mashuhuri na wenye ushawishi duniani lazima tukubali ukweli mchungu kuwa Rais Samia sio mmoja wao hivyo hakufaa kuwepo au kushiriki pekee kwenye hiyo fialmu kama tunataka matokeo kweli na sio siasa!

Kama swala ni hela ukweli ni kwamba nchi hii haiwezi kushindwa kutumia hata zaidi ya billion hata 30 kuwekeza kwenye utalii na matangazo kwani tumekuwa na matumizi mabovu zaidi ya mabillion na mabillion!

Hivyo ni ukweli usio pingika katika hili la kuitumia filamu kutangaza vivutio tumepata hasara kwa kuwa tumeshindwa kujua tumtumie nani kuwafikia wakina nani!
Hoja yako inaangalia upande mmoja tu!Mheshimiwa Rais amevuka upeo Wa kawaida katika kuutangaza utalii Wa Tanzania.Kule tu kukubali kuwa Tour Guide namba moja ,ameshavuka hiyo Tourism level unayotamani...Cristiano na Messi waalikwe kutembelea vivutio vyetu ili nchi ipate kufahamika zaidi.
 
Una point na kutumia watu maarufu inaweza kulipa zaidi, lakini royal tour ni strategy moja tuu na sio mwisho au kila kitu tutakachotumia kujitangaza, iwekwe budget na idara kamili iliyojaa wataalam sio wanasiasa kazi yake iwe ni kutangaza utalii kwa nguvu zote , tutajitangaza kila kona CNN, google, NBA, NFL ,Premier league,Jamiiforums, diamond platinums mpaka instagram ya Kardashian...italipa tuu maana tutarusha kila kona ila iendane na ukweli na huduma first class sio kuwauzia watu matango pori maana inaweza back fire
 
Back
Top Bottom