Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,608
2,729
Nianze kwa shukhrani wale waliojiunga JF. Kwaajili ya kujifunza, kuhabarisha na kusahihisha wengine Mungu awabariki.

Lakini kuna wengine mnatoa majibu mpaka mtu unalazimika kufunga data siku nzima; hivi ni lazima uchangie upuuzi wako kwenye nyuzi zisokuhusu? Kwanini usipeleke huko FB kwenye kokoro? Sijui mnakuwa mnalizia kibangi cha mwisho?

Mimi ni mmoja ninayejifunza mengi kutokea JF. So naumia nikiona mnaleta uchafu kwenye nyuzi za maana.

Namaliza na nukuu kutoka Mithali

Mithali 15:1-2
[1]Jawabu la upole hugeuza hasira;
Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.

[2]Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri;
Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom