Kwenye medani za Sheria Nani mkali Kati ya Lissu na Kibatala?

kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,990
2,000
tmbueni lisu kwenyekesi hii yupo anawajibika kama kawaida akati mawakili wajamhuri wanaripoti kwa serikali kutoa mrejesho kibatala anaripoti kwa LISU

Lisu ni A

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Thebroker

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
1,215
2,000
Mnatumia kigezo kipi kupima ubora wa mwanasheria?
Sheria ni Pana and it's dynamic. Kuna watu wame specialize kwenye civil, wengine criminal, kuna corporate, kuna human rights (hawa wengi ni wana harakati eg Kambole) na field nyingine za Sheri kama labour, banking n etc. Pia kuna litigants either in civil or criminal na kuna sie corporate lawyers ambao ukituoana mahakamani labda ni kwenye kutoa ushahid tu au kualikwa as amicus curiae .
 
Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
508
1,000

I too, am a lawyer but I don't practise criminal law. Nafanya zaidi commercial particularly insurance. Sasa huwa ninajiuliza hawa laypersons kupima ubora wa mwanasheria wabatumia nini? Huwa ninashangaa sana nionapo hivi vituko vya kusema kwamba fulani ni mwanasheria bora kuliko fulani. All in all nadhani shida hapa huwa ni mihemko kuliko uelewa kuwa sheria ni pana sana kama ambavyo medicine iko pana sana
 
wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
1,441
2,000
Niliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.
eti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopolo
 
Libertatem Pugnator

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
508
1,000
Niliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.
Mkuu ulitaka kumaanisha nini hapa? Maana daah, kemikali ulizochanganya hapa zinaelekea kuleta mlipuko wenye kufanana na atomic bomb
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
707
1,000
I too, am a lawyer but I don't practise criminal law. Nafanya zaidi commercial particularly insurance. Sasa huwa ninajiuliza hawa laypersons kupima ubora wa mwanasheria wabatumia nini? Huwa ninashangaa sana nionapo hivi vituko vya kusema kwamba fulani ni mwanasheria bora kuliko fulani. All in all nadhani shida hapa huwa ni mihemko kuliko uelewa kuwa sheria ni pana sana kama ambavyo medicine iko pana sana
Mkuu usututukane bas,
Sawa sisi ma lay kwenye sheria na we ukiumwa unaleta tako tukuhudumie,
Tuelekeze tu tusioyajua katika fani yako.
 
wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
1,441
2,000
Nimecheka sana... Nishtue na mimi nijue alipotupiga kamba maana nilishaingiza ubongoni mwangu hiyo tayari
Aina za kesi ziko mbili: kesi za madai na kesi za jinai.
Kesi ya madai inahusu pande mbili: Mdai Vs Mdaiwa.
Polisi hawahusiki na kesi za madai.

Kesi ya jinai nayo pia inahusu pande mbili: anayeshitaki Vs anayeshitakiwa.

Kesi ya jinai inahusisha police ambao zamani walikuwa wakakusanya ushahidi na kuendesha mashitaka (prescute/prosecution).

Kwa sasa prosecution inafanywa na mawakili wa serikali kmf. Wakili kweka wa kesi ya sabaya.

Kwa hiyo prosecution siyo kesi bali ni mchakato unaoendeshwa na waendesha mashitaka ili kuthibitisha kwamba mshitakiwa ametenda kosa.

Baada ya upande wa mashitaka kukamilisha kutoa ushahidi wao, mahakama humpa nafasi mshitakiwa ajitetee dhidi ya mashitaka yaliyo mbele yake.

Kitendo hiki cha Mshitakiwa kujitetea (yeye mwenyewe au kupitia kwa wakili) huitwa defence. Hivyo Defence siyo aina ya case bali ni utetezi.
 
jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,547
2,000
Ubora wa mwasheria au wakili bora hupimwa kwa kesi walizosimamia

Tuweke mathalani kesi 10 kila mmoja za maana tuone hapo

.binafsi kwa kuzingatia haya namuona kibatala kuwa bora zaid lisu aliniangusha tu ambavyo alishindwa hata kujitetea kwa naibu spika aliposimamishwa kazi bungeni
Lisu ni muongeaji tu
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,498
2,000
WanaJF Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka sana na mawakili na mahakimu.
Lissu dunia au mataifa mengine yanamjua kulingana na shule alizosomea hadi kufikia hapo alipo huyo kibatala kama sio cdm na kesi kesi anazosimamia wala hajulikani /asingejulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom