Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
African men do not fight for their wives!
They fight for hawara!
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
Sema wife wako mwenyewe mbaya sa dah cjui km utapata mtu
basi hujahusiana vizuri....
ahahahahaaaaaaaaaaa!..mimi sijaoa_hata mimi sijawahi gombana ila kuna jamaa juzi kati ananitishia ataniua eti natembea na demu wake,...nasubiri itakuwaje mkuu.
Ugomvi kama huo kamwe huwezi kuupata kama mkeo atakuwa katika makundi yafuatayo:
1.Halipi yaan namaanisha mbaya
2.Ulilazimishwa kumuoa
3.Muaminifu wa ndani na nje(anajitunza mwenyewe)
4.wewe na mkeo kama mna shutma ya kuwa Mmeathilika na UKIMWI
5.n.k ninayo mengi sana kwa leo kama unataka mengne niite ntarudi.
kwani wewe Preta umegombana......oooooooooh!..ilikuaje?
Kwa maana hujawahi hata kuhisi chochote kwa mkeo? Basi ujue ni mwizi mzuri....!Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.