Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo Mwakinyo, why kina Paciao na Mayweather hawamo?

buhoro ksl

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
248
246
Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo mwakinyo, why kina paciao, froyd maywather hawamo?

Kupitia jukwa hili, naamini majibu ntayapata
 
Hata mimi nilikua najiuliza swali hilo

Mda flani nilihisi pengine watakua wamemuweka kwenye list ambayo wako wenzake wenye uzito sawa lakini bado naona hai make sense
 
Mwakinyo anachokitafuta atakipata muda si mrefu, kazi yake ya kuongea na mapromota na kuleta mabondia ambao ni CHOPRICHOPRI basi kiama chake kinakuja.
 
Nawapongeza wote mliochangia kutoa kile mlichonacho japo kuna wengine wananibeza
 
Bondia anayejulikana na shilika lipi ?
WBC
WBO
IBF
WBA
AIBA

Na Uzito upi ?

Fyod Mayweather amesha staafu ngumi. Hawezi kuwekwa kwenye ranks za mabondia.
mkuu umeniongezea kitu kingine cha kuwauliza wanajukwaa, je? Kila shirika hapo juu lina mabondia wake? Na yanafanya kazi kwa kijitegemea? Ama inakuwaje mkuu?Tafadharini kuuliza sio ujinga mwenye nondo azitoe hapa. asante
 
Nawapongeza wote mliochangia kutoa kile mlichonacho japo kuna wengine wananibeza
Mkuu kwenye boxing kuna kipengele cha uzito wa bondia ambapo mabondia wenye uzito wa range flan let say 55-59kg wanapewa category na wanapewa rank yao. So Mwakinyo yupo kwenye uzito tofauti na kina Myweather na hata pia twaha kiduku ko hawawezi kua katika ranks moja, labda upime kwa kupitia star alizonazo bondia ambapo Mwakinyo ana Nyota nne kama sijakosea.
 
asante sana umeniongezea kitu
 
Inaelekea hujui hata chochote kuhusu mambo ya boxing!

Hata majina ya hao mabondia maarufu katika sayari hii, inakupa shida sana kuyaandika kwa usahihi!
inaelekea wewe ni mtumwa wa akili eti kila siku ni nyuzi za simba na yanga tu....jimpambanue tokaa hukoooo
 
Back
Top Bottom