Kwenye kumuaga Balozi Kijazi, Kikwete ametuma ujumbe mzito kwa vitendo

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,717
2,000
Safu ya uongozi wa nchi imekaa mbele, kuna waziri mkuu, makamu wa raisi naibu Spika. Wote hawa hawajavaa barakoa na wala hawako umbali unaofikia mita mbili kutoka kwa kila moja. Hata hivyo raisi Mstaafu JK amepiga barakoa yake.

Je, tunapata meseji gani kama Watanzania?

Ni dhahiri kiongozi mstaafu anaonyesha mfano kuwa hizi nyakati siyo za kujiachiaachia.

Nawaonea huruma viongozi wengine ambao badala ya za kuambiwa na jiwe wachanganye na zao, wao wanajiexpose kwenye kwenye line ya hatari ya maambukizi.

Sisi kama Taifa tunapaswa kufuata mfano mwema kama wa JK

Hapa chini JK kapiga barakoa

1613728584134.png


1613728400943.png
 

DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
943
1,000
Wengi hapo wanajikaza tu. Wanatamani lakini wakimtazama mkuu wanagwaya.

Wasichojua ni kwamba siku wakibanwa vifua watabaki peke yao macho yakiwatoka.

Hongera Jakaya hakika wewe ni kiongozi.

Na hakika hii Corona ingekuja kipindi chake approach yake ingekuwa more Scientific kuliko hii ya kishirikina.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom