Kwenye kesi za jinai mtu anayesikilizwa kesi yake akiwa ndani ya magereza anapaswa asikilizwe zaidi

tumeleta shahidi mwingine na tumeomba kuingiza documents zingine,
ngoja tuone maana naona mawakili wa jamuhuri wamebaki wanatoa macho ila kilichofanyika ni ku-cure mischief zilizotumiwa na jaji kama sababu ya kupiga chini barua ya Ling'wenya.
 
Kama ling'wenya angekutwa na diary na pen kama Yule askari,na hakika jaji angepokea pingamizi la upande tetezi,ila kwakua ni jaji wa kimkakati tutaendelea kuona Mkakati wa kumfunga FAm..
Lakini mambo mengine Mungu huamua kuyafunua hapa hapa duniani!
 
tumeleta shahidi mwingine na tumeomba kuingiza documents zingine,
ngoja tuone maana naona mawakili wa jamuhuri wamebaki wanatoa macho ila kilichofanyika ni ku-cure mischief zilizotumiwa na jaji kama sababu ya kupiga chini barua ya Ling'wenya.
Mungu asimame na sisi!
 
This time hapaswi kuongea Mbowe. Anapaswa kuongea Mshatkiwa mwingine! Itakapofikia wanaonesha jinsi walimkamata Mbowe na upepelezi wake na maelezo yake ninafikiri hapo patakuwa patamu pia!
Nachojiuliza mbona kesi imejikita kwenye ukamataji tuuuu matukio ya ugaidi yako wapi? Vifaa vya kivita walivokuwa navyo kwaajili ya ugaidi viko wapi? Wakasema waliwakamata mara wanakunywa pombe, mara wanasajili line lakini mfukoni hawako ata na Mia mbovu, basi hawana ata kabomu ka machozi, ugaidi wanaufanya na madawa ya kulevya! Yaan hawakutumia akili kabisa ya namna ya kubambika iyo shutuma
 
Back
Top Bottom