Kwenye kesi za jinai mtu anayesikilizwa kesi yake akiwa ndani ya magereza anapaswa asikilizwe zaidi

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Jaji kachemka sana kwa uamuzi wake wa leo. Katika mapingamizi yote aliyoyakataa la leo ndiyo limenifanya niamini kuwa huyu ni Jaji wa kimkakati tu. Huyu hatufai. Haki hata kama ni ya mtu mmoja dhidi ya dunia nzima hupawa kuangaliwa.

Kwanza kuwa suala la haki asilia "principles of natutal justice" - huyu Jaji alitakiwa atoe nafasi kilichopaswa kuingizwa na Ling'wenya kiingizwe. Kumekuwa na hofu kubwa kuwa kilichokataliwa kuingia pengine kilikuwa kimebeba haki ya Mshtakiwa. Hata mimi nimeanza kuamini hivyo hata kama sivyo.

Hapa Jaji alipaswa kutumia hekima na kuzingatia haki za asili kuhakikisha kila kitu kinasikilizwa hata kama ni uozo tu. Kwa kukataa kwake basi inaonesha kabisa amepanga kuubeba upande wa mashtaka kwa hasara ya upande wa utetezi.

Hata hivyo kikubwa watu tonaona na historia inajiandika. Tuvute subira ila maamuzi yeyote huko baadaya yatakuja kuonesha uzuri na ukatili wa watesi wetu.
 
Ni kweli kilichokataliwa kilikuwa kimebeba haki ya mtuhumiwa, ndio maana jaji jaji akaona akikatae ili kutimiza lengo lake na waliompa hiyo kazi wakamtoa Mwanza kama vile Dsm hakuna majaji wa kusikiliza hiyo kesi.

Maamuzi mengi ya huyo jaji ni ya hovyo, nikianza kuyahesabu hata siyamalizi, sioni sababu yoyote kuendelea kuwa na imani naye, ni kupoteza muda tu.
 
Jaji kachemka sana kwa uamuzi wake wa leo. Katika mapingamizi yote aliyoyakataa la leo ndiyo limenifanya niamini kuwa huyu ni Jaji wa kimkakati tu. Huyu hatufai. Haki hata kama ni ya mtu mmoja dhidi ya dunia nzima hupawa kuangaliwa.

Kwanza kuwa suala la haki asilia "principles of natutal justice" - huyu Jaji alitakiwa atoe nafasi kilichopaswa kuingizwa na Ling'wenya kiingizwe. Kumekuwa na hofu kubwa kuwa kilichokataliwa kuingia pengine kilikuwa kimebeba haki ya Mshtakiwa. Hata mimi nimeanza kuamini hivyo hata kama sivyo.

Hapa Jaji alipaswa kutumia hekima na kuzingatia haki za asili kuhakikisha kila kitu kinasikilizwa hata kama ni uozo tu. Kwa kukataa kwake basi inaonesha kabisa amepanga kuubeba upande wa mashtaka kwa hasara ya upande wa utetezi.

Hata hivyo kikubwa watu tonaona na historia inajiandika. Tuvute subira ila maamuzi yeyote huko baadaya yatakuja kuonesha uzuri na ukatili wa watesi wetu.
Jaji vs Juju
 
Jaji wa CCM katumwa kutenda dhuluma.
Maandiko yanasema HAKI HUINUA TAIFA. Tanzania ikiendeleza dhuluma za namna hiii mtapigwa hadi mkome.

Mtapigwa kwenye uchumi, michezo, madini na rasilimali zenu zitaliwa na wageni
 
Jaji kachemka sana kwa uamuzi wake wa leo. Katika mapingamizi yote aliyoyakataa la leo ndiyo limenifanya niamini kuwa huyu ni Jaji wa kimkakati tu. Huyu hatufai. Haki hata kama ni ya mtu mmoja dhidi ya dunia nzima hupawa kuangaliwa.

Kwanza kuwa suala la haki asilia "principles of natutal justice" - huyu Jaji alitakiwa atoe nafasi kilichopaswa kuingizwa na Ling'wenya kiingizwe. Kumekuwa na hofu kubwa kuwa kilichokataliwa kuingia pengine kilikuwa kimebeba haki ya Mshtakiwa. Hata mimi nimeanza kuamini hivyo hata kama sivyo.

Hapa Jaji alipaswa kutumia hekima na kuzingatia haki za asili kuhakikisha kila kitu kinasikilizwa hata kama ni uozo tu. Kwa kukataa kwake basi inaonesha kabisa amepanga kuubeba upande wa mashtaka kwa hasara ya upande wa utetezi.

Hata hivyo kikubwa watu tonaona na historia inajiandika. Tuvute subira ila maamuzi yeyote huko baadaya yatakuja kuonesha uzuri na ukatili wa watesi wetu.
Kwenye hili Mimi sikumung'unya maneno, nlishaur
' ukimya wa Mbowe na wenzake kuendelea kuyalea Yale yanayofanywa na jaji huyu ni ishara ya kumwamini jaji' tofaut na hapo wamkatae

Hamna jaji hapo, ni mtu aliyekalia kiti cha ujaji anakanyaga anavyotaka
 
Huyu jaji alishaonesha yuko upande gani kuanzia kutupilia mapingamizi ya upande wa utetezi, sababu alizokuwa akitumia kutupilia mbali mapingamizi ya kina kibatala ndo izo izo zilizoingiza kielelezo mahakamani kwann leo akatae? Siku akakurupuka adi kuropoka eti shahidi anaelekezwa majibu kisa anaeleza bila kumung'unya maneno!
 
Kwenye hili Mimi sikumung'unya maneno, nlishaur
' ukimya wa Mbowe na wenzake kuendelea kuyalea Yale yanayofanywa na jaji huyu ni ishara ya kumwamini jaji' tofaut na hapo wamkatae

Hamna jaji hapo, ni mtu aliyekalia kiti cha ujaji anakanyaga anavyotaka
Tatizo naloona mawakili wa upande wa mbowe wanajiamini hakuna kesi apo, wataenda nao sawa kisheria ijulikane mbichi na mbivu wamejisahau ni mapngo wa kumprove mama kuwa alikuwa sahihi kuropoka BBC kuwa FAM ni gaidi na mchezo wa jaji sjui hawauoni? Hawamsomi adi mtu anashindwa kujizuia anam attack shahidi kuwa anapewa majibu sjui anajiona ni kama kina kidando?
 
Huyu Ni mtoto wa kada wa CCM.
Alisoma shule ya msingi Bugarama huko mkoani Kagera wilaya ya muleba,Kisha aliingia jesheni,akiwa huko alijiendeleza na maisha shule huko mkwawa SS mkoani Iringa,

Baba yake aliingia kwenye kura ya maoni kugombea udiwani kupitia CCM.
JAJI Ni mtumishi wa TISS aliyepandikizwa mahakamani dhamira yake Ni kunajisi muhimili wa mahakama.
 
Wala sidhani km ni sahihi. Waende naye tu kwanza!
 
Huyu Ni mtoto wa kada wa CCM.
Alisoma shule ya msingi Bugarama huko mkoani Kagera wilaya ya muleba,Kisha aliingia jesheni,akiwa huko alijiendeleza na maisha shule huko mkwawa SS mkoani Iringa,

Baba yake aliingia kwenye kura ya maoni kugombea udiwani kupitia CCM.
JAJI Ni mtumishi wa TISS aliyepandikizwa mahakamani dhamira yake Ni kunajisi muhimili wa mahakama.
Umri wake inaweza ikawa ni miaka mingapi vile!
 
Tatizo naloona mawakili wa upande wa mbowe wanajiamini hakuna kesi apo, wataenda nao sawa kisheria ijulikane mbichi na mbivu wamejisahau ni mapngo wa kumprove mama kuwa alikuwa sahihi kuropoka BBC kuwa FAM ni gaidi na mchezo wa jaji sjui hawauoni? Hawamsomi adi mtu anashindwa kujizuia anam attack shahidi kuwa anapewa majibu sjui anajiona ni kama kina kidando?
This time hapaswi kuongea Mbowe. Anapaswa kuongea Mshatkiwa mwingine! Itakapofikia wanaonesha jinsi walimkamata Mbowe na upepelezi wake na maelezo yake ninafikiri hapo patakuwa patamu pia!
 
Huyu Ni mtoto wa kada wa CCM.
Alisoma shule ya msingi Bugarama huko mkoani Kagera wilaya ya muleba,Kisha aliingia jesheni,akiwa huko alijiendeleza na maisha shule huko mkwawa SS mkoani Iringa,

Baba yake aliingia kwenye kura ya maoni kugombea udiwani kupitia CCM.
JAJI Ni mtumishi wa TISS aliyepandikizwa mahakamani dhamira yake Ni kunajisi muhimili wa mahakama.
Kumbe!
 
Kama ling'wenya angekutwa na diary na pen kama Yule askari,na hakika jaji angepokea pingamizi la upande tetezi,ila kwakua ni jaji wa kimkakati tutaendelea kuona Mkakati wa kumfunga FAm..
 
Back
Top Bottom