zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,267
- 3,899
Naomba nielimishwe:
Kwenye posts za JF, juu kulia kuna kichumba kina maelezo, kati ya hayo kuna haya yananichanganya naomba nielimishwe:
Rep Power:ni nini?
pattern ya kijani iliyopo chini ya Rep Power, ina maanisha nini?
Credits: Ni nini, na zinaongezekaje au kupunguwa aje?
Natumai niotaelimishwa kwa hilo, ahsanteni in advance.