Kwenye Imani yetu Kwanini ukijaribu kunukuu baadhi ya mafungu unaonekana kuwa haufai?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Wadau hamjamboni nyote

Nakiri mimi ni Muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato tena wa kuzaliwa kukulia & kulelewa ndani ya Kanisa.

Miongoni mwa mambo yanayoniumiza kichwa ni pale unapotaja baadhi ya mafungu ya biblia ili ufafanuliwe lakini ukaonekana haufai bila kuelezwa sababu za msingi

Nimeweka mafungu hayo kwa (uchache) kutokea
1 SAMWELI 28:6- 21
1 PETRO 3: 18-20
LUKA 16:19 - 31

Karibuni tujadili
Karibuni tuelimishane

Mungu awabariki sana

1 PETRO 3: 18-20

Kwa maana Kristo naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki, ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa, bali roho yake akahuishwa,

ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri;

watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.

1 SAMWELI 28:6- 21

Ndipo Sauli akawaambia watumishi wake, Nitafutieni mwanamke mwenye pepo wa utambuzi, nipate kumwendea na kuuliza kwake. Watumishi wake wakamwambia, Tazama, yuko mwanamke mwenye pepo wa utambuzi huko Endori.

Basi Sauli akajigeuza, na kuvaa mavazi mengine, kisha akaenda, yeye na watu wawili pamoja naye, wakamfikilia yule mwanamke usiku; akasema, Tafadhali unibashirie kwa utambuzi, ukanipandishie yeye nitakayemtaja kwako.

Ndipo yule mwanamke aliposema, Je! Ni nani nitakayekupandishia? Naye akasema, Nipandishie Samweli.

Hata yule mwanamke alipomwona Samweli alilia kwa sauti kuu; na yule mwanamke akamwambia Sauli, akasema, Mbona umenidanganya? Kwa kuwa wewe ndiwe Sauli.

Mfalme akamwambia Usiogope; waona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu anatoka katika nchi.

Naye akamwuliza, Ni mfano wa nini? Akajibu, Ni mzee anazuka; naye amefunikwa vazi. Basi Sauli akatambua ya kwamba ndiye Samweli mwenyewe, akainama uso wake mpaka nchi, akasujudia.

Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Mbona umenitaabisha mimi, hata kunipandisha juu?,,,
 
Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Mbona umenitaabisha mimi, hata kunipandisha juu?,,,j
Mkuu tueleze kwanza ni kitu gani kinakuumiza kichwa kwenye hivyo vifungu,🤔tuanzie hapo alafu tujadili.
 
Back
Top Bottom