Kwenye ile orodha ya Hans Pope na wenzake sijaona mchagga yoyote, labda wameanza siasa wakati wa vyama vingi!

Mimi nadhani Kuna inferiority complex katika makabila mengine nchini kwa hayo makabila matatu.kwa Nini makabila yenye mafanikio makubwa ndo yenye hiyo sifa . So sio kweli kubwa ni wabaguzi bali jinsi jamii zinavyowachukulia
Mkuu hata wakinga wana mafanikio tu,, lkn hawawekwi kwenye hayo makabila why,,, nenda marangu sema mimi mzaramo natafuta kiwanja alafu uje utupe mrejesho hapa
 
Mkuu hata wakinga wana mafanikio tu,, lkn hawawekwi kwenye hayo makabila why,,, nenda marangu sema mimi mzaramo natafuta kiwanja alafu uje utupe mrejesho hapa
Navyo fahamo huko ardhi haitoshi na pengine haiuzwi kabisa,hivyo kwa hali hiyo haiwezi kiss kipimo cha ubaguzi.
 
Back
Top Bottom