Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,200
- 85,298
Naomba nianze kwa kusikitika kidogo.
Nafikiri inaumiza sana kuona kiongozi tena kijana, akitoa tamko kana kwamba anatamani amfirahishe mtu flani.
Na kwetu sisi wazaza/walezi tunaumizwa sana kila tunapo ona watoto wetu (hasa wakubwa hawa/A-level/Vyuo) wakibaki nyumbani kwasababu ya ufukara wetu.
Sawa sote tunatambuwa kwamba mkuu wa nchi amesha agiza wadada na wakaka wakubwaambao ni watoto wetu, warejee vyuoni na mashuleni pindi tu itakapo badilika kalenda na kudoma 1 June.
Bahati mbaya sana, kuna vijana waliopewa mamlaka na sasa wanasahau hekma/busara na kishakutoa matamko tatanishi kuhusiana na hii tarehe moko.
Bahati mbaya sana vijana hawa (wanaotoa matamko) hawaja fikia umri wa kutegemewa na watoto wenye level hii iliyo takiwa na mkuu wa nchi irudi shule na Vyuo.
Mbaya zaidi vijana hawa wanasahau kwamba kiongozi wa nchi amefanya maamuzi ya watoto hawa kurudi masomoni kwa kuzingatia kwamba sasa Ni watu wazima, nasasa ubaya wa kumtuma mtumzima Jambo ni yawezekana akafika kwa wakati ama lah. Na sababu kubwa ni mtoto huyu amefikia umri wa kuitwa mtu mzima.
Sasa basi nitowe Rai kwa wewe kiongozi (uliye pewa power katika eneo lako), ebu angalia namna nzuri ya kuliweka hili ili isiwe shida kwa mwanafunzi na mzazi pia.
Sisi wazazi tunapo watoa watoto nyumbani always tuna amnini kwamba wanarudi huko kwenye masomo, lakini pia kiongozi unapaswa ukumbuke kwamba kutoka nyumbani hadi chuo kuna mengi yanayo jiri hapo katikati hata kupelekea mtoto kuchelewa kifika chuo/a-level.
Na ukizingatia hili kwamba tayari vijana hawa tumewabatiza jina la watu wazima. Na umri huo akiondoka nyumbani ni jambo lingine, pia kufika kwake shuleni/chuoni ni kitu kingine.
Hapo sija zungumzia kuchelewa kwa mtoto kureport kwasababu ya wazazi kukosa pesa.